Mbowe azidisha ulaghai

Zama hizi sio za kuwadanganya watanzania,shudu zenu hizi zimeshawakera wananchi,imefika mahali hata kuvaa kofia na t-shirt za ccm Mtaani mnaogopa wananchi kuwashambulia basi mnaleta shudu.

Hii Nchi haiendeshwi kihuni kama mnavyotaka kutuaminisha, Kila mtu ana uhuru wa kuvaa nguo za rangi anayoitaka, na kutembea popote pale bila kubugudhiwa! Vyombo vya usalama viko kwa ajili ya wahuni wanaovunja sheria za nchi!
 
Mh.mbowe kayashika magamba pabaya hahaha hahaha
 
Wewe kweli ndio pimbi nchi hii lina mambo yenye ushaidi yametolewa maamuzi zaidi ya mtu kusimama kwenye TV na kutukenulia tuu.
 
Hata hii iliyopo ni katiba mkuu imetuongoza kwa miaka 50 bila shida..ikafanyiwa marekebisho kodogo inaweza kwenda tena kwa miaka zaidi ya 50...
kwa hilo naunga mkono, maana ccm imeshindwa kabisa kusimamia mchakato wa kulipatia taifa let katiba mpya
 
Hiyo ni hujuma. Kukataa kushiriki kwenye mchakato wa kidemokrasia kwa kua unaona utashindwa kwa wingi wa kura. Ni udikteta cdm kudhani hoja yao ndio pekee yenye mashiko licha ya wawakilishi wa wengi kutoafiki hoja hiyo. Muafaka wa kitaifa ni wachache kukubaliana na hoja ya msingi ya wengi sio wachache kuwaburuza wengi
 

Wewe ni kilaza
 

Mimi nikisema we Mwizi utakaa kimya? nendeni mahakamani aweke hadharani muumbuke!
 
Mbowe ni msanii na mlaghai wa kisisa.
Na Kikwete je? Anayo orodha ya wauza madawa ya kulevya. Anawafahamu wafanyibiashara wanaohusika na ujangili wa ndovu. Kuna msanii zaidi ya huyu Kikwete? Chini ya utawala wake tumeshuhudia twiga wakiingizwa kwenye ndege za jeshi la nchi ya Kiarabu hata hatujui zile shingo zilikunjwa je. Unataka niendelee?
 
nataka nikukumbushe umesahau kwenye id yako na ghostryder.... au ghosryder?
 

Kuhusu Mabomu ya Soweto ccm inaogopa nini kuunda tume huru kuchunguza ili ukweli ujulikane kama haihusiki? Ccm inahusika na ndio maana haitaki ukweli ujulikane!
 
hawa wlipewa nishani za utumishi uliotukuka!!!!!!!!!!!!
 

ushahidi huo hapo!
 
Nimekuwa ninamfuatilia sana kamanda wa anga mbowe,kila mara anapozungumzia hofu za chadema kuhujumiwa,lazima aseme ushahidi tunao,ila akitakiwa kuuweka wazi anaufyata,si bora asingekuwa anaweka wazi,mfano kule Soweto,alisema ushahidi wanao kuwa ccm ndio walihujumu kampen zao za mwisho akatakiwa kuupeleka kwa raisi kwa kuwa hakuwa na iman na jeshi la polisi,hakupeleka,ila jana pia amekaririwa akisema hawatarudi bungeni maana ccm wanataka kuwahujumu,ndio maana wanawahadaa warudi bungeni,akamalizia kuwa "Na ushahidi tunao",hata huu utakuwa ni mdomoni tu!haya bana,lini home?
 


Hahahahaha,ni bora yeye kuliko ahadi 100 zilizotolewa na mkuu wa kaya na kuishia kusema hazitekelezeki,ila kikubwa ni policcm kuja na movie ya aliyemteka...........yule jamaa wa mabupandee...............mkenya hahahaha kova oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…