Mbowe aweka masharti umoja mpya na Zitto

Mbowe aweka masharti umoja mpya na Zitto

Kwa kigoma huko ambako chadema imepoteza mbunge na wanataka kurudisha kiti chao bungeni mbowe anamuhitaji zitto kwa sasa kuliko mwanachama au mbunge yeyote wa chadema.
Siasa ni kwenda na bit, huwaoni kina polepole, bashiru, mkumbo na mwenzao kabudi wanavyonata na bit.
 
Siasa ni kwenda na bit, huwaoni kina polepole, bashiru, mkumbo na mwenzao kabudi wanavyonata na bit.
Mbowe anaogopa kura kugawanywa chadema na act..ila hamuitaji zitto..kumbuka mbowe ndio alimtoa zitto udsm na kumlea kisha akamfanya askari wake kama msigwa na lema..akataka kumpindua..anamuelewa vizuri na wala hamuhitaji
 
Mbowe keshanusa..huyu zito si alishawahi wapitia wote akiwemo mzee wa bahari motors..ila mbowe akagoma..leo kaona anahitaji jimbo lirudi chadema ndiyo anajifanya kuondoa tofauti ili zitto awsaidie kurudisha jimbo..kisha umeona wapi watu wanaelewana jukwaani badala ya kukaa kwanza faragha watatue tofauti zao..kweli hizi ni nyakati za mfa maji kwa upinzani

Ndugu JINA BAYA LA TUSI, nikupe funzo “ NI RAHISI KURUDISHA UHUSIANO NA MTALAKA WAKO, KULIKO KUANZA MAHUSIANO MAPYA” , NA pia ni rahisi kumdanganya umjuaye vizuri au mtu unayejua Siri zake ama weakness yake, hapa nadhani Mbowe anajua kwa Zitto kwake ni mporomoko
 
View attachment 792003

Kwa kifupi.

MH. Mbowe amesema umoja huo unakusudiwa kuongeza changamoto na nguvu mpya ya kisiasa nchini, lakini kuna haja ya kuangalia vyama unavyoungana navyo

"Umoja ni jambo jema utapunguza utani kwenye mambo serious ya kuendesha siasa ndani ya vyama, nasema utapunguza utani kwa sababu kuna vyama vina miaka 20 na zaidi lkn havina hata mkiti wa mtaa, sasa utaunganaje na chama kama hicho, ila kuna vingine vina muda mfupi lkn unaweza kuona vimefanya kitu". alisema Mbowe.

"Ila kwanza sijui kwa nini Zitto alizungumzia muungano wa vyama au umoja wa kidemokrasia msibani. Tulichokuwa tunafanya pale kwa kuwa mbunge alichaguliwa na wananchi wote ni kushirikiana kumhifadhi na baadaye kutafuta mgombea mmoja atakayekuwa na nguvu, lakini hilo suala sio la mimi kusema tu ni la vikao vya chama".
Mbowe akili kubwa sana, ndio maana CCM hawalali.
 
Mbowe anaogopa kura kugawanywa chadema na act..ila hamuitaji zitto..kumbuka mbowe ndio alimtoa zitto udsm na kumlea kisha akamfanya askari wake kama msigwa na lema..akataka kumpindua..anamuelewa vizuri na wala hamuhitaji
Mbowe an akili sana, na ccm wanweza kutumia.mwanya huo.
 
Mbowe keshanusa..huyu zito si alishawahi wapitia wote akiwemo mzee wa bahari motors..ila mbowe akagoma..leo kaona anahitaji jimbo lirudi chadema ndiyo anajifanya kuondoa tofauti ili zitto awsaidie kurudisha jimbo..kisha umeona wapi watu wanaelewana jukwaani badala ya kukaa kwanza faragha watatue tofauti zao..kweli hizi ni nyakati za mfa maji kwa upinzani
Nadhani hata Zitto atakuwa hana nia ya kweli ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi kama.ataruhusu chama chake kuweka mgombea ili wagawane kura na kumpa ushindi mtu wa CCM, hapo ndipo tutasema ACT ni CCM B. Maana kwa hali ilivyo ACT hawezi.kuvukua jimbo, badala yake atapunguza kura kwa mpinzani na kumpa njia ccm.
 
Kuna watu wanaakili ndogo wamechukia sana.
Utasikia wanahamia ccm.

Hakuna adui wa kudumu katika siasa.
 
Afadhali Sana Zitto na Mbowe mmewatoa ccm kwenye reli ya "Ondoa Mbowe chadema" Sasa hivi yanaumiza vichwa itakuaje Tena muungano wao huu....Jiwe plesha 1000%
 
Afadhali Sana Zitto na Mbowe mmewatoa ccm kwenye reli ya "Ondoa Mbowe chadema" Sasa hivi yanaumiza vichwa itakuaje Tena muungano wao huu....Jiwe plesha 1000%
Aahh wapi!
Hahahaha
 
Back
Top Bottom