Siku mbili tu baada ya msio madalali kuchukua chama,watu wamefumuliwa kwa risasi,miji imechomwa na mali kuibwaDalali wa mfumo na mwenzie Zitto walitudanganya sana.
Halafu kesho na kesho kutwa tu utasikia "mbona amenyamaza sana na hasemi chochote"Ameenda kuhani kwenye msiba wa baba mkwe wake na sio kama mwanachadema, viongozi wa Chadema wametekwa, wamewekwa ndani na wengine kuuawa hakujitokeza.
Chadema ndio waliobeba risasi kupiga watuSiku mbili tu baada ya msio madalali kuchukua chama,watu wamefumuliwa kwa risasi,miji imechomwa na mali kuibwa
Wakati wa uongozi wake aliwapigania sana wanachama waliouawa, kutekwa na kuwekwa ndani. Alipokamatwa Makamu Mwenyekiti wake Mbeya hakusita kwenda kumpigania. Aliitisha maandamano kupinga mauaji na utekaji lakini alitokea yeye na binti yake. Baada ya yote hayo Chadema mkageuka na kumuita mpiga dili, msaliti, mlamba asali na kuwa amewachelewesha sana. Wakati mkimsema hivyo viongozi waliangalia tu bila kutia neno.Ameenda kuhani kwenye msiba wa baba mkwe wake na sio kama mwanachadema, viongozi wa Chadema wametekwa, wamewekwa ndani na wengine kuuawa hakujitokeza.
Acha kujikomba kwa Mbowe. Ni lazima aende kwani mke wake ni Binti wa marehemu Mtei. Sasa niambie, unaachaje kuhudhuria msiba wa mkweo?Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewasili muda huu katika msiba nyumbani kwa marehemu Edwin Mtei, aliyefariki dunia Januari 19.
Mtei alikuwa ni mwasisi wa CHADEMA pamoja na mwenyekiti wa kwanza wa chama hicho. Kufuatia kifo chake, CHADEMA imetangaza maombolezo ya siku saba kama sehemu ya kuenzi mchango wake mkubwa katika historia ya chama hicho na siasa za Tanzania.
Kwa mujibu wa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Ndondi Totinam, viongozi mbalimbali wa chama pamoja na ndugu, jamaa na marafiki wanaendelea kuwasili msibani leo, huku wengine wakitarajiwa kufika kesho.
Nilionya hapa kuwa Lisu ataiharibu Chadema ona sasaSiku mbili tu baada ya msio madalali kuchukua chama,watu wamefumuliwa kwa risasi,miji imechomwa na mali kuibwa
Halafu rais wako kilaza ndiyo anatafuta maridhiano😂😂😂Chadema ndio waliobeba risasi kupiga watu
Ameiharibu kivipi? Chama kilichojarobika kinakatazwa kupanda miti??Nilionya hapa kuwa Lisu ataiharibu Chadema ona sasa