Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
Age discrimination ni criminal offence DJ Mbowe committed.
Tumjaji Malecela kwa utendaji wake sio age. Malecela alikuwa msitari wa mbele kupambana na mafisadi na kuendeleza democrasia hapa nchini. Ni chini ya uongozi wake na Mwinyi waliruhusu vyama vingi.
Dj Mbowe tokea nazaliwa nakusikia unacheza disco baada ya wewe kufeli masomo, mwishowe ukaachiwa uenyekiti wa CHADEMA na mkweo, Madaraka uliyopowa kwa sababau ya kuowa mtoto wa Mtei huo ndio Usultani, tunataka democrasia ya kweli itisha uchaguzi chadema kama hupendi usultani or Uchagism.
Kama Malecela anachapa kazi yake inavyo takiwa na kachaguliwa kwa ridhaa ya wananchi usituletee ubaguzi wako wa kichaga na age
Itisha uchaguzi chadema kama hutaki usultani!!
Posti yako imekaaje tena? kwani lazima kuwa na jaziba ukitoa hoja. Nisaidie kujibu yafuatayo:Age discrimination ni criminal offence DJ Mbowe committed.
Tumjaji Malecela kwa utendaji wake sio age. Malecela alikuwa msitari wa mbele kupambana na mafisadi na kuendeleza democrasia hapa nchini. Ni chini ya uongozi wake na Mwinyi waliruhusu vyama vingi.
Dj Mbowe tokea nazaliwa nakusikia unacheza disco baada ya wewe kufeli masomo, mwishowe ukaachiwa uenyekiti wa CHADEMA na mkweo, Madaraka uliyopowa kwa sababau ya kuowa mtoto wa Mtei huo ndio Usultani, tunataka democrasia ya kweli itisha uchaguzi chadema kama hupendi usultani or Uchagism.
Kama Malecela anachapa kazi yake inavyo takiwa na kachaguliwa kwa ridhaa ya wananchi usituletee ubaguzi wako wa kichaga na age
Itisha uchaguzi chadema kama hutaki usultani!!
Posti yako imekaaje tena? kwani lazima kuwa na jaziba ukitoa hoja. Nisaidie kujibu yafuatayo:
1.Kusema wazee wastaafu ni ubaguzi?
2.Unafahamu U-DJ unaajili watanzania wangapi hadi unawabagua?
3. Je unafahamu viongozi wa CCM wanaotoka familia moja walio kwenye uongozi
wa serikali achilia mbali kwenye chama chao?
4. Kwa nini unambagua Mbowe? kwani yeye katiba ya nchi haimruhusu
kuchaguliwa kuwa kiongozi?
5. Kwa nini unawabagua wachagga, wao si watanzania?
Naomba nikujibu namba 1 na 4 japo kwa kifupi
1.Ndiyo ni ubaguzi...Kwani ni wapi katiba inasema wazee wasigombee?
4.Kwa nini Malecela anabaguliwa na Mbowe?,kwani yeye katiba ya nchi haimruhusu kuchaguliwa kuwa kiongozi?
-Nimesharudia katiba yetu ndiyo tatizo
-Mimi naona kosa analofanya Mbowe ni kupambana au kufanya harakati zake sasa zionekane anapambana na watu badala ya kupambana na Mfumo
-CHADEMA tujikite katika harakati za kitaasisi zaidi,hayo ndiyo yatakayoweza ku-reflect image ya mabadiliko ya kweli.Hatuwezi kuleta mabadiliko kwa kupambana na Mtu mmoja mmoja.So napinga moja kwa moja mapambano ya aina hii,nisichukuliwe kama Msaliti wa CHADEMA but the way forward should be aiming high.It's too low and costfully tukianza kuleta mabadiliko kwa kutaka kumbadilisha mtu mmoja mmoja hadi tupate mabadiliko tunayoyatafuta
-so it will be prudent kama tutaelekeza resources zetu za kisiasa katika kupigania mabadiliko ya msingi katika katiba yetu,mifumo ya utawala/uongozi nk
Mabadiliko na uhuru wa kweli hauwezi kuletwa kwa kulenga wigo mwembamba au dhana nyembamba ya mtu mmoja
Ben, nilivyomwelewa Mbowe anawakazia macho wabunge wote wa CCM: rejea kichwa cha habari, na pia hitimisho lenye rangi nyekundu kwenye posti ya thread hii. Ujumbe wake ni kwamba ndani ya mfumo wa CCM hakuna anayeweza kupambana na ufisadi, bali nje ya mfumo wa CCM inawezekana. Ndiyo maana aksema ufisadi ni hoja ya Chadema: wabunge wa CCM hawaiwezi sababu mfumo wa CCM unawaziba pumzi.
'' Mbowe aliwashambulia baadhi ya wabunge wa CCM waliokuwa wakijinadi kuwa ni makamanda wa kupambana na ufisadi kuwa wameonyesha kutokuwa na uwezo wa kupambana na ufisadi.'CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza vita dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Mtera, John Malecela na wabunge wenzake waliokaa bungeni kwa muda mrefu.
Vita hiyo ilitangazwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe katika mkutano wake wa Oparesheni Sangara uliofanyika wilayani Mpwapwa juzi.
Mbowe alisema kwa sasa umri wa Malecela kuendelea kuwa mbunge umekwisha na kwamba akisikia amechukua tena fomu kutetea nafasi hiyo mwaka huu atarusha helikopta katika kata zote za Jimbo hilo kuhakikisha anamng'oa.
"Mimi nazaliwa Malecela namsikia akiwa bungeni, nimesoma elimu ya msingi hadi sekondari, nimefanya kazi BoT, nimeacha kazi na sasa nafanya biashara, nimeingia kwenye siasa nimekwenda bungeni nimemkuta na nimemuacha, hivi huyu mtu amekuwa Sultani?,"alihoji Mbowe. '
Sina tatizo na hili na ninamuunga mkono Freeman...Ila ninampinga kwa kauli zake hizi hapa chini'' Mbowe aliwashambulia baadhi ya wabunge wa CCM waliokuwa wakijinadi kuwa ni makamanda wa kupambana na ufisadi kuwa wameonyesha kutokuwa na uwezo wa kupambana na ufisadi.
"Hoja ya mapambano dhidi ya ufisadi iliasisiwa na CHADEMA, nyinyi ni mashahidi namna wabunge wa Chadema walivyopambana , mara wakajitokeza wenzetu kutoka CCM, kina John Malecela na wenzake na kujinadi ni wapambanaji wa ufisadi, lakini tulijua ngoma hii hawaiwezi na kwamba wangeishia njiani,"alisema''.
Nakubali kuwa habari huwa ina mambo mengi ndani yake, lakini ujumbe mkuu hubaki kwenye hitimisho. Na hitimisho la habari hii limeonyeshwa mwishoni mwa stori yenyewe ni: '' Mbowe aliwashambulia baadhi ya wabunge wa CCM waliokuwa wakijinadi kuwa ni makamanda wa kupambana na ufisadi kuwa wameonyesha kutokuwa na uwezo wa kupambana na ufisadi.Sina tatizo na hili na ninamuunga mkono Freeman...Ila ninampinga kwa kauli zake hizi hapa chini
'CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza vita dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Mtera, John Malecela na wabunge wenzake waliokaa bungeni kwa muda mrefu.
Vita hiyo ilitangazwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe katika mkutano wake wa Oparesheni Sangara uliofanyika wilayani Mpwapwa juzi.
Mbowe alisema kwa sasa umri wa Malecela kuendelea kuwa mbunge umekwisha na kwamba akisikia amechukua tena fomu kutetea nafasi hiyo mwaka huu atarusha helikopta katika kata zote za Jimbo hilo kuhakikisha anamng'oa.
"Mimi nazaliwa Malecela namsikia akiwa bungeni, nimesoma elimu ya msingi hadi sekondari, nimefanya kazi BoT, nimeacha kazi na sasa nafanya biashara, nimeingia kwenye siasa nimekwenda bungeni nimemkuta na nimemuacha, hivi huyu mtu amekuwa Sultani?,"alihoji Mbowe. '
Ben, nilivyomwelewa Mbowe anawakazia macho wabunge wote wa CCM: rejea kichwa cha habari, na pia hitimisho lenye rangi nyekundu kwenye posti ya thread hii. Ujumbe wake ni kwamba ndani ya mfumo wa CCM hakuna anayeweza kupambana na ufisadi, bali nje ya mfumo wa CCM inawezekana. Ndiyo maana aksema ufisadi ni hoja ya Chadema: wabunge wa CCM hawaiwezi sababu mfumo wa CCM unawaziba pumzi.
Ben, nilivyomwelewa Mbowe anawakazia macho wabunge wote wa CCM: rejea kichwa cha habari, na pia hitimisho lenye rangi nyekundu kwenye posti ya thread hii. Ujumbe wake ni kwamba ndani ya mfumo wa CCM hakuna anayeweza kupambana na ufisadi, bali nje ya mfumo wa CCM inawezekana. Ndiyo maana aksema ufisadi ni hoja ya Chadema: wabunge wa CCM hawaiwezi sababu mfumo wa CCM unawaziba pumzi.
SENDER: Freeman Mbowe
to
RECEIVER: John C.Malecela
Re: Its time to go for all old generation;
MESSAGE SENT!!!!!
Namuunga mkono kwa asilimia 199.999% Mwenyekiti Mbowe kwa kusema ukweli..wazee sasa waondoke TUMEWACHOKA BWANA hata mimi toka nazaliwa,nakua,naenda sekondari,naajiriwa kazi(bongo),nachoka na ufisadi naishia ughaibuni ,naoa ,napata watoto!!!!!!Eboooo Malecela,Kingunge et al ,bado wapo tu.
Nooo this time, lazima waondoke tumewachoka sana tuu,tunataka new generation kwenye mustakabali wa uongozi wa nchi yetu. Hii nchi ndo maana haina maendeleo watu wale wale tu juzi,jana,leo na kesho!!!no tumewachoka banahh.Ndo maana na Jk anakuwa mgumu wa maamuzi,Wazee wamemzunguka kila kona Whyyyyy!!WAENDE BANAHH.
Hongera Mbowe,hawa wazee lazima waondoke hawana jipya.