Alihoji kama Naibu Waziri atakubali kufuta jibu lake juu ya mwekezaji huyo wa KIA kwa sababu hakusema ukweli.
Hata hivyo, Spika Anne Makinda alisema ni vizuri Mbowe apeleke maelezo yake kwa maandishi ili kuwa na ushahidi na Serikali ipeleke maelezo yake yalinganishwe na kuona jibu sahihi ni lipi.
nina shaka na chanzo chako cha habari...asije kuwa ni mfagiaji
Hapa kwa kweli sijui tufanye nini ili kuondoa kizazi hiki kinachotafuna taifa letu..Kuna tetesi za kuaminika kuwa mmiliki wa Kilimanjara Internationa Airport ni mama Mkapa anayetumia mwavuli wa mwekezaji mkaburu wa sauz.Source mfanyakazi wa KADCO.Hivi hii nchi inaelekea wapi?hajatosheka na fursa saw kwa wote?
Kuna tetesi za kuaminika kuwa mmiliki wa Kilimanjara Internationa Airport ni mama Mkapa anayetumia mwavuli wa mwekezaji mkaburu wa sauz.Source mfanyakazi wa KADCO.Hivi hii nchi inaelekea wapi?hajatosheka na fursa saw kwa wote?
Kumbe nipo nyuma sana! hata nilikuwa sijui kama Kilimanjaro Internation Aiport (KIA) ni mali ya mtu Binafsi au hii taarifa mimi ndio siielewi vyema!?
mkuu naridhia kabisa kwamba hii habari ni ya uongo kwani mtoa mada ameshindwa kutofautisha kati ya KIA na KADCO
nina shaka na chanzo chako cha habari...asije kuwa ni mfagiaji