Hamna lolote wameona aibu maji yamewasuta ngoja ije maalisiri utaona walivyo vigeugeu magamba si sio wote inawahusu kama maji walikataa hoja y mnyika kwa nini na leo wanafanya nini magamba bwana
Ingekua zito kawasifia duh mambulula wanaofuata upepo ungewaona mapovu yanavowatoka bt alowasifu ni mumme wao ohoooo safiiii zidumu fikra za mwenyekiti DJ mbowe
Mbowe awapongeza wabunge CCM: KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amepongeza msimamo wa wabunge hasa wa CCM kwa kuweka itikadi zao pembeni na kusimamia kidete suala la bajeti ya Wizara ya Maji, hadi ikasitishwa ili iboreshwe zaidi.

Hii ndiyo Siasa, kwenye kupongeza unapongeza kwenye kuponda unaponda. Siyo kila siku unakuwa ni mtu wa kuponda tu hadi wananchi wanakuona kama mwehu.
Mbowe awapongeza wabunge CCM: KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amepongeza msimamo wa wabunge hasa wa CCM kwa kuweka itikadi zao pembeni na kusimamia kidete suala la bajeti ya Wizara ya Maji, hadi ikasitishwa ili iboreshwe zaidi.
wewe sisteri, kwa lugha uliyotumia humu, inaelekea una uswahiba wa karibu sana na akina Serukamba, Nkamia, Lusinde na Mwigulu Nchemba!!Ingekua zito kawasifia duh mambulula wanaofuata upepo ungewaona mapovu yanavowatoka bt alowasifu ni mumme wao ohoooo safiiii zidumu fikra za mwenyekiti DJ mbowe
Dharau umezoea mpaka kwa wanaoNimekudharau kuliko Mwanangu wa Wiki mbili , masikini mkubwa !
wewe sisteri, kwa lugha uliyotumia humu, inaelekea una uswahiba wa karibu sana na akina Serukamba, Nkamia, Lusinde na Mwigulu Nchemba!!