Mbowe awaasa WanaCHADEMA waache chuki dhidi ya vyama vingine!

Mbowe awaasa WanaCHADEMA waache chuki dhidi ya vyama vingine!

Makamanda wa CHADEMA hapa JF , naona Mbowe aliyewapandikizia chuki sasa ameanza kuwageuka, Jifunzeni kusoma alama za nyakati na muache kututukana hapa.

umesikika bw nape nnauye,leta maada nyingine?
 
Kasemea mwandiga an wapi?
vp leo huko Arusha hakuwepo na Lema?
chezea Kifo kaona kila mtu ataondoka na Hukumu ipo mbele licha ya Wanadamu hapahapa Duniani
RIP Mama Shida Salum pumzika kwa amani Uliuonesha Ulimwengu uvumilivu mkubwa wa kisiasa hasa kwa waliomuwekea Husda mwanao
 
Cdm wao wanajuwa kutukana na kukosowa wenzao ukiwakosowa wao matusi kashfa tumezoweya tutapambana humu ndani ya jf hadi tuone nani mshindi

magamba mnahesabika hapa jf,kipimo ni ile poll ya Dr Slaa na Mamvi.mlitaga asubuhi tu!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe amewataka Wapenzi na Wanachama wa CHADEMA kuacha kueneza chuki dhidi ya Wafuasi wa Vyama vingine na badala yake wahubiri upendo na kuwaelimisha ili waweze kujiunga CHADEMA.Wazungu husema this is an oxymoron.
NB: Mbowe tenda unayohubiri ili usiwachanganye Wafuasi wako!!!
mbowe anaongelea chuki zipi? yeye anaongoza kwa chuki hata kwa wanachama wake anawaowaongoza. mfano mzuri ni Zitto tangu amchallenge kwenye kile kita cha usultan amekuwa akiwatumia vibaraka wake mbali mbali akine you zero brain aitwaye lime kumchafua Zitto kila alipopata nafasi iwe ni kwenye mitandao, majukwaa au popote pale.
kwa kweli sikutarajia kauli hii kutoka kwa mbowe.
 
sawa lkn aache ubinafsi, ili tulete upinzani wenye kutupatia tija.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe amewataka Wapenzi na Wanachama wa CHADEMA kuacha kueneza chuki dhidi ya Wafuasi wa Vyama vingine na badala yake wahubiri upendo na kuwaelimisha ili waweze kujiunga CHADEMA.Wazungu husema this is an oxymoron.
NB: Mbowe tenda unayohubiri ili usiwachanganye Wafuasi wako!!!

Wahubiri upendo mbona wao hawajaenda kumuuliza hali na hata kumzika mjumbe wao mkuu wa CHAGGADEMA?
 
Mheshimiwa Mbowe umechelewa sana. Nimeona jana ukitoa kauli hii nikakushangaa. Tumekuwa tukiwashauri viongozi wa Chadema, humuwezi kupata mashabiki wengi wa kukuingiza chama madarakani kwa siasa za kuwatusi kuwafitinisha na kuwakejeri wale mnaotofautiana nao, Inashangaza watu unawaita wajinga, kesho unawaomba wakupigie kura.

Chuki mliyowajengea wanachama wenu kwa wanachama wa vyama vingine imemea ndani ya vichwa vyao na kupoteza nidhamu ya kisiasa haiwezi kutoka kwa hotuba yako ya jana mna kazi kubwa ya kufanya kurudisha nidhamu ya kisiasa.

Na hii itawagharimu hata pale ambapo kwa bahati nzuri mtaingia madarakani, maana Watanzania wengi wameamuwa kuwa jeuri na kutofuata sheria kwa sababu ya maagizo yenu. Mumewakataza hata kuchangia shughuli za maendeleo mkidhani mnakomoa Chama kilichopo madarakani, ukweli mmeua moyo wa wananchi kujiletea maendeleo yao na mkiingia madarakani hilo litawagharimu.

Ushauri wangu ili ufanikiwe usianze na wanachama wenu, anza na viongozi wako ndani ya chama, hilo liwe ni azimio ndani ya vikao vya juu vya chama. mtafakari na mfundane vya kutosha ndipo wanachama watawaelewa.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe amewataka Wapenzi na Wanachama wa CHADEMA kuacha kueneza chuki dhidi ya Wafuasi wa Vyama vingine na badala yake wahubiri upendo na kuwaelimisha ili waweze kujiunga CHADEMA.Wazungu husema this is an oxymoron.
NB: Mbowe tenda unayohubiri ili usiwachanganye Wafuasi wako!!!
Ukiona hivo ujue chuki alizohubiri zimemuathiri mwenyewe.
"Waswahili" wa majuu wanasema "Corrosive acid only harms the weak container",
Hatimaye Mbowe katambua yeye ni container aina gani!
 
sasa mbona KIKOSI KAZI cha watoto wa viongozi kimejazana kwenye uzi mmoja ?

Unadhani hao ni watoto wa viongozi? Hao ni vibaraka wao na wasakatonge tuu


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom