TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe amewataka Wapenzi na Wanachama wa CHADEMA kuacha kueneza chuki dhidi ya Wafuasi wa Vyama vingine na badala yake wahubiri upendo na kuwaelimisha ili waweze kujiunga CHADEMA.Wazungu husema this is an oxymoron.
NB: Mbowe tenda unayohubiri ili usiwachanganye Wafuasi wako!!!
NB: Mbowe tenda unayohubiri ili usiwachanganye Wafuasi wako!!!