\sikuamini kama kweli hawa viongozi wajuu kabisa wa chadema hawakwenda kumjulia hali kiongozi mwenzao tena wa rank yao. This is fan. Or there is something behind, na hivi hivi tu.
hivi kwa nini mnaupromote ushoga hivi? yale maadili yetu ya kiTZ tumeyaacha wapi? Hebu tuwe wastaarabu wakati wakuchangia humu.Mambo yanayoendelea gerezani ni aibu kuelezea ukitoka nje. Sidhani kama atakuwa tayari kuyaeleza hata kwa mke wake achilia mbali ndani ya bunge.
Mbowe, Mnyika, Lissu, hawa hakuna hata mmoja aliokwenda kumjulia hari Zitto..
Dr. Slaa, peke yake ndio alikwenda
Kwa hiyo CDM kama huna umuhimu una thamani?
Hata kama wamem-CAMERON?
Aliacha kumtembelea Zitto akiwa Muhimbili anaona ni bora kumtembelea Lema akiwa gerezani?
Akiandamaana tu rudisha rumande
Hata kama wamem-CAMERON?
Mkuu, una hakika na unalolisema au umeamua kuongeza your no. of posts? Think Big!Aliacha kumtembelea Zitto akiwa Muhimbili anaona ni bora kumtembelea Lema akiwa gerezani?
What do you expect from such a small creature? Hawezi kuelezea chochote alichofanyiwa gerezani sana sana akifanya hivyo atakuwa anajidhalilisha tu.
Vipi mkuu ulishatendwa nini? Kama yalikutokea ukakubali ucdhani ni kwa kila mtu!Mambo yanayoendelea gerezani ni aibu kuelezea ukitoka nje. Sidhani kama atakuwa tayari kuyaeleza hata kwa mke wake achilia mbali ndani ya bunge.
Usiwe na wasiwasi cameron anawapigania mtamburiwe kisheri. Asifuye mvua imemmnyea. Vp nawe jela walikukamerun nn.
ngoja atoke tuandamane watusweke jela nasi tukashuhudia ya huko kwani kwa ajili ya bunadamu si pa kutisha.
Hata kama wamem-CAMERON?
hata sisi andamana mwenyewe. Au jipeleke kama yeye alivyofanya.