johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Weka facts mkuu, kwa maana alikua padre akakimbia, akawa mwana CCM akakimbia, akawa mwana CDM akakimbia, akawa balozi kwa uteuzi wa CCM napo anataka kukimbia!!Dr.Slaa ni "fixed asset" kwa Chadema hilo halina ubishi.
Chadema mking'atwa na nyoka jifunzeni kuchukua tahadhariMbowe amesema iwapo Dr Slaa anatamani kurejea Chadema kama inavyozungumzwa na Wengi basi itampasa kwanza aongee na viongozi Ili wajiridhishe naye
Kwamba CCM washazoea kung'atwa na nyoka sio, means tayar wana anti venoms ama?Chadema mking'atwa na nyoka jifunzeni kuchukua tahadhari