Mbowe apokelewa kishujaa Lindi

Leo hiyo mtazame Mbowe kwanza wacha kuweweseka
Kwa mtaji wa wajinga ndio waliwao , ha ha ha magu katisha mbeya na raisi wenu sugu kamfagilia Magu,anko Magu fukuza mjini hao wakimbilie maporini , na hivi wameanza kuelekea msumbiji.
 
Hiki Chama Hakiwezi kuuliwa na Watawala wenye Akili ndogo kama hawa wanaotutawala sasa, CHADEMA tupo Imara sana sasa kuliko hata hapo awali, Hawa mazuzu wanajichanganya na kujidanganya kutokana na kukosa fikla na uelewa mdogo.
 
Mbona mnaelekea msumbiji ? Mbeya vipi ? Chadema challii
 
Walisha poteza 2015 hawatapata tena kura mil.6 kama zile kwa Lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…