Mbowe apokelewa kishujaa Lindi

nlijua ntakutana na mafuriko ya watu...Hawa watu hawaendani na ukubwa wa Chadema hata Kidogo acha kujifariji...Namba hiii ni ya A.C.T not Chadema...na kwa idadi hiyo niseme tu kua hiki ni kipimo halisi cha UFU wa chadema.
 
hiki ni kikao cha ndani tu mjomba
 
Hata kama wangekuwa 2 tu bado ingekuwa na maana kwakuwa wamekwenda kwa utashi wao sio kulazimishwa kama mikutano ya Magu watumishi na wanafunzi lazima wahudhurie. Wananchi wa kawaida wanashawishiwa na vikundi vya ngoma na usafiri wa kuwasomba to and fro bure!
 
Hiki kitu hawakijui japokuwa Mimi ni mwanaccm hili nalijua na liko wazi pasipo kificho Chadema ni chama ambacho Watanzania wanakiishi Mioyoni mwao
Thubutu , sema wanachadema , usitusemee watanzania
 
Thubutu , sema wanachadema , usitusemee watanzania
Kama sio kweli tuufanye uwanja uwe sawa tuone zomea zomea mpya. Wapinzani wamezuiwa kufanya shughuli zao lakini bado haruko huru tunajustukia mbele za watu.
Ulimwona Sugu pale ulijifunza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…