Mbowe anazizimisha Nzega

Mbowe anazizimisha Nzega

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,041
Reaction score
134,315
Wakuu nipo safarini kwenda Mwanza,nimezinyaka taarifa juu ya uwepo wa Mkombozi Mbowe ktk anga la mji wa Nzega,nikaona isiwe tabu nikakatiza na STK mpaka parking pembeni ya stand ya Nzega.Nikapokelewa na track ya Prof.Jay na Mh.Sugu!Pamoja na jua kali,umati umetanda ukimgojea kamanda kwa hamu.Tupicha nita-upload!Kamanda Mtoi utaendelea nilipoishia.Sasa Chopa linamiminika toka upande wa kaskazini na kupiga swaga,mji ni kama mbiu imelia,watu wanaelea huko kwa wingi wakitokea sehemu mbali mbali za mji.Mbowe anatua kama.
 
Híi track ya M4C ina hamasa sana,big up iungwe mkono kwa kupewa airtime hata kwny makumbi ya starehe na maharusini
 
...

.....naipiga hapa kwenye subaru yangu machalii wamekubali !!!!
 
Nimearifiwa kuwa Makene yupo huko anaonekana maeneo ya Motel Nzega.tupe updates Kamanda
 
Sasa Chopa linamiminika toka upande wa kaskazini na kupiga swaga,mji ni kama mbiu imelia,watu wanaelea huko kwa wingi wakitokea sehemu mbali mbali za mji.Mbowe anatua kama.
 
....

.....hii amsha amsha haitakuwa na kikomo mpaka kieleweke !!!!

Bravo Kamanda wa anga ......
 
...

VIVA BAVICHA !!! mpela mpela amsha amsha .....

960068_598344463516797_414110816_n.jpg
 
Safi sana makamanda, nasikia Kigwangalla yupo hoi kwa pressure ya Mbowe kutua Nzega.
 
Back
Top Bottom