kumbe wao ndo wanatuchelewesha makusudi wakati wakija kwetu wanatuambia tupo pamoja tusubiri kidogo kuna mambo wanafatilia kabla hatujaingia mtaani. Duh,wanakatisha tamaa la umeme nilipania sana!tumemsikia mkuu akijiosha kwa muheshimiwa, eti wao ndio huwa wanawaziwia wanainchi wasiandamane, anachekesha kweli!!!!
tatizo lako umesoma chini ya mbuyu, we suala la umeme unalionaje ni furaha kwako? Chama cha siasa ni nani? We unadhani kama CDM wanaandama kwa mambo ya kipuuzi Halaiki ya watu ingewakubali kihivyo?Katika kipindi cha maswali na majibu kwa waziri Mkuu leo bungeni, Mbowe alisema viongozi wa upinzani wanajitahidi sana kuzuia watu kufanya maandamano kwa ajili ya umeme.
Kuna ukweli jamani, wakati chadema inajulikana kwa maandamano?
CHADEMA wamemfata nan nyumban kwake il wakaandamane???? Jarbu kufkria kwa kutumia Ubongo sio utumie UTI WA MGONGOKatika kipindi cha maswali na majibu kwa waziri Mkuu leo bungeni, Mbowe alisema viongozi wa upinzani wanajitahidi sana kuzuia watu kufanya maandamano kwa ajili ya umeme.
Kuna ukweli jamani, wakati chadema inajulikana kwa maandamano?
tatizo lako umesoma chini ya mbuyu, we suala la umeme unalionaje ni furaha kwako? Chama cha siasa ni nani? We unadhani kama CDM wanaandama kwa mambo ya kipuuzi Halaiki ya watu ingewakubali kihivyo?
watu wamechoka na usanii huu kila mara wanaambiwa mipango ya muda mrefu mfupi mwembamba mnene mweusi ila ile muda kitalaam hawana
Katika kipindi cha maswali na majibu kwa waziri Mkuu leo bungeni, Mbowe alisema viongozi wa upinzani wanajitahidi sana kuzuia watu kufanya maandamano kwa ajili ya umeme.
Kuna ukweli jamani, wakati chadema inajulikana kwa maandamano?
Hivi maandamano ndio yataleta umeme?
Nawashangaa vyama vya upinzani, kuhusu hili la umeme, hii ilikuwa turufu kwao, kuongea na wafadhili wao wa nje wawaletee mitambo ya umeme haraka haraka, wawaoneshe wananchi kuwa wao wanaweza walichoshindwa Serikali, badili yake wanahaha kwa makelele yasio na tija.
Sheria zimebadilishwa na yeyote awezae kuzalisha umeme na alete, au hilo hawalijui? Kama wanalijua wanangoja nini? Au wamejaribu wakaona pagumu?