Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

wabunge watano wakongwe arfi, kabwe, mdee, ndesamburo, owenya wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya jk, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na slaa na zitto, hivi kinanani wanamshauri?
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?
Makamba anashauriwa na Prof Maji Marefu akisaidiwa na Shekh Yahaya kama unavyomuona kwenye mapozi
Arfi, kabwe,uwenya,mdee,ndesamburo,mnyika,shibuda woote hawakuwemo siku ile ya hotuba ya rais and it is obvious walipinga na si dalili nzuri, hata hili mnahitaji ushahidi wa signature na video tapes... Guys let us discuss it critically pipoz...............
Chama chenu? Tangu lini ukawa mwenzetu?Hakuna anaejibu, jazba hazitojenga chama chetu, guys just come with ideas achana na ushabiki....