Wonderland Management
Senior Member
- May 28, 2014
- 132
- 94
Mbowe ameifilisi chadema sasa amehamia kwenye mifuko ya jamii inayoweka akiba za wastaafu..
Hapana sikuwa na maana ya kuwa sababu hajalipa basi serikali imekataa kumlipa,labda Kiswahili changu hakikueleweka vyema.
Ninamaana kwamba serikali inawajibika kumlipa na pia Mbowe anawajibika kulipa,na hata kama kampuni zake zilikopa basi aishinikize kampuni zake zilipe,ili atundee haki wanachama wa CDM kwa kulipa deni hilo.Maana wakati tunawaanyoshea vidole watani zetu CCM basi huku kwetu tuwe wasafi na weledi uliotukuka.Hivyo tu.
Hawa Ghasia alileta ghasia kumshambulia Mbowe kwamba anadaiwa na LAPF. Ghasia fahamu kwamba ni seriali yako unayoitetea ambayo Mbowe anawadai
2bn kupitia Air Tanzania.
Wamlipe kwanza Mbowe fedha zake.
Yaani wote wapenda vyama wangekuwa objective kama wewe saa hizi wanasiasa wa hovyo wote wangeshakimbia vyama!!!!!!!!
OLESAIDIMU,kila mtu anafikiri kulingana na akili na uwezo alionao na uwoga kwa mwenyezi Mungu.Ndugu yangu hakuna kitu kizuri kama kuwa na mawazo yako binafsi bila kulazimishwa na mtu kwa kuhongwa au kupewa uongozi.
Na mwisho mimi ni Mtanzania,nchi yangu ni Tanzania,na hivi havitakaa viniondoke hata nikifa,lakini naweza kuhama CHAMA pale ninapoona hakina maslahi kwa Taifa langu.Kwangu Tanzania kwanza Chama baadaye.
So mbowe amekwambia akilipwa na atcl ndo ataenda kulipa deni la nssf?
Katika terms za mkopo walikubaliana kuwa kama kama anaidai govt hatalipa mkopo hadi yeye alipwe.
Sijui mnapata faida gani kuwatetea hao wanasiasa wenu.
Mnakera sana.
Weka ushahidi mkuu siyo maneno matupu, anawadai vipi aliwakopa au aliwauzuia bidhaa?Hawa Ghasia alileta ghasia kumshambulia Mbowe kwamba anadaiwa na LAPF. Ghasia fahamu kwamba ni seriali yako unayoitetea ambayo Mbowe anawadai
2bn kupitia Air Tanzania.
Wamlipe kwanza Mbowe fedha zake.
Bidhaa gani anazotengeneza? Gongo auWeka ushahidi mkuu siyo maneno matupu, anawadai vipi aliwakopa au aliwauzuia bidhaa?
Labda alikuwa anapiga disco airport.Bidhaa gani anazotengeneza? Gongo au
Kimya sanaaaaa wewe mtu?
Not Sicilian way..........................