Wonderland Management
Senior Member
- May 28, 2014
- 132
- 94
Mbowe ameifilisi chadema sasa amehamia kwenye mifuko ya jamii inayoweka akiba za wastaafu..
Hebu kuwa na akili wewe, Mbowe alikopo mwaka 1990 kwa ajiri ya perxonal business issues wakati huo nchi ikiwa bado ya chama kimoja hata chadema haijulikani. Na kumbuka Chadema ni chama cha Mtei, baba wa Lilian Mtei, ambaye ni mke wa Mbowe, anacho kula ni cha mkwe so mnyamaze.