Malipo kwamungu
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 574
- 86
Kuwataka waislam wadhbitiwe kwa kuwa wanasema vibaya makanisa huku akizitaka redio na magazeti ya kiislam yakionywa. Kwani Mbowe ni msemaji wa kanisa?
ni katika hotuba yake kwa ofisi ya waziri mkuu

Hivi mara nyingi ukweli mnaupinga na kutetea vitu vya kijinga eti kwa kuwa kafanya kiongozi wenu nani asie juwa kama CDM ni tawi la kanisa hata kama ukweli mnauficha ipo cku ukweli utacmama kama atakavyorudi nabii issa
Sure, ni kama tu CUF ilivyo tawi la Waislam! I think your level of appreciating issues is diminishing!Hivi mara nyingi ukweli mnaupinga na kutetea vitu vya kijinga eti kwa kuwa kafanya kiongozi wenu nani asie juwa kama CDM ni tawi la kanisa hata kama ukweli mnauficha ipo cku ukweli utacmama kama atakavyorudi nabii issa
kama umetumwa na ccm kuharibu amani nenda uamsho kwani hao ndio washirika waoni kuwa ccm +bakwata=uamsho