Mbowe alipua ufisadi mkubwa bungeni

Mbowe alipua ufisadi mkubwa bungeni

JBK

Member
Joined
Aug 17, 2012
Posts
68
Reaction score
13
kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni adai kuna baadhi ya wafanyabiashara na viongozi walioficha mamilioni ya dora katika baadhi ya visiwa ambavyo havitozi kodi kama Dubai
 
Sasa hapo amelipua wapi kwa habari kipisi namna hii?
 
Wataibuliwa tu Bongo yetu hii ni shamba la bibi, kule mpakani mwa tanzania na Congo wanapaita Tanzania Dubai, kila kitu bwerereeeeee!
 
Hajalipua mafisadi! alikuwa anataka maelezo ya kina kuhusu kiasi na watu walioficha fedha nje ya nchi.
 
huyo ndiye kamanda mbowe.hana bei ya kile anachikiamini.mungu amlinde.
 
Hizi thread zina eye catch nzuriii but fungua usome mh!
 
Kama hawezi kuwataja, na anyamaze kabisa! Haiwezekani kila siku wimbo uwe ni huo huo kuanzia kwa wabunge wa CCM hadi wa Chadema! Mbowe awataje ili ajitofautishe na kina Zitto.
Watanzania Mnapenda vitu vya chap chap.........akiwataja mtawafanya nini?

Walipotajwa wezi wa fedha zetu EPA mliwafanya nini?
Alipotajwa Chenge na yeye mwenyewe kudhibitisha, mmemfanya nini?

Kama hao wote mmeshindwa kuwashughulikia, majina mapya mnayataka ili iweje?
 
kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni adai kuna baadhi ya wafanyabiashara na viongozi walioficha mamilioni ya dora katika baadhi ya visiwa ambavyo havitozi kodi kama Dubai

LOL,,
NISUBIRI NIKIRUD LUNCH NTAKUBEBEA MAYAI YA KUCHEMSHA NA PEPSI BARIID USHUSHIE
KITACHOFUATIA BAADA YA HAPO NITAFANANISHA KIDOGO NA HOJA YAKO
UNA TAMBO???
MCHANA MWEMA..
:smile: :smile:
 
Watanzania Mnapenda vitu vya chap chap.........akiwataja mtawafanya nini?

Walipotajwa wezi wa fedha zetu EPA mliwafanya nini?
Alipotajwa Chenge na yeye mwenyewe kudhibitisha, mmemfanya nini?

Kama hao wote mmeshindwa kuwashughulikia, majina mapya mnayataka ili iweje?

Kama hivyo ndivyo, sasa CDM wanapinga ufisadi gani? Basi wabunge wa CDM wanyamaze kimya bungeni!
 
kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni adai kuna baadhi ya wafanyabiashara na viongozi walioficha mamilioni ya dora katika baadhi ya visiwa ambavyo havitozi kodi kama Dubai

Aisee..hao akina DORA mamilioni ukikutana nao itakuwaje? Na je ni warembo?
 
Mtoa mada umekurupushwa kutoa huu uzi???????????? manake haina mashiko
 
Back
Top Bottom