Hayo ni mambo ya kawaida kwa wanasiasa tofauti na unavyotaka kutuaminisha,Atafanya nini? Hakuna aliye nyuma yake ukiondoa Familia yake labda!
Etienne tishekedi alisota sana kizuizini enzi za mobuto, Leo mwanae Felix tishekedi in raisi was Kongo,
Mandela alisota miaka 27 jela Leo hii no hero