Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

hizo ni mbinu tu za vita dhidi ya chadema!, maandamano yalitisha sana yale ati!, hizo habari ni za kizushi tu!

Uzushi kwa watu kama nyie msio na haiba wala weledi hivi kusoma hujui hata picha tu huoni hivi inawezekana vio mtu uliekua unamtangaza tanzania nzima kwa wananchi ukimuita fisadi papa tena hafai leo hii unaaminishwa tena kwa siku moja eti ni msafi ila mfumo heeeee mmepotea sana chama pekee cha kushukuriwa ni CCM hakina tabu yani mwendo wa magufuli hauzuiliki HapakaziTU
 
Last edited by a moderator:

mbowe jamani yupo kimasilahi zaidi,mkumbuke kwamba mbowe ni mfanyabiashara na kama ni mfanyabiashara kama wafanyabiashara wengine lengo lao ni kupata faida zaidi.kwahiyo mbowe yupo kimasilahi na ndio maana ameamua kumuwekea bond ndugu edoward lowassa chama cha chadema ili apate mkwanja wa bilioni 10 na kwenda kulia bata na mademu zake wa bilicanaz.
 
sema ukweli japo Mchungu, ukweli utamuweka mtu huru daima pole sana dr slaa
 

i lisemwalo lipo kama halipo laja, kumbe mfanyabiashara mbo-we alianza haya mambo kitambo sana
kwel
 
mungu atawalipa wanamapinduzi kama zitto kabwe jasho lako halikwenda bure kijana kumbe ulinusa nyendo Za jamaa tangu kitambo..!
 
Magamba bwana, jiandaeni kwa kampeni, Mambo ya mtaa wa pili waachieni wenyewe. Mtasutwa!

Kaka hayo sio mambo ya mtaa wa pili ila ni mambo ya manufaa kwa nchi nzima na watanzania wote wapate kulitambua hilo na waachane na siasa za lowasa maana hazina ukweli bali ulaghai ndio maana anaamua kuwatumia watu wa hali ya chini kwa kuwapa pesa ili wamtukuze OGOPA SANA MICHEPUKO SIO DILI #HAPAKAZITU CCM MBELE KWA.MBELE HAPA MAGUFULI TU
 
Katika hili Mbowe hafai Uongozi wa Chama chochote Hata nchi kwakuwa anauzalendo na Chama chake pia kwakuwa ni mroho wa fedha zisizo harali (Fisadi).... Amekifisadia Chama cha Chadema, CUF, nccr na udp.... (Ukawa) kwa Mzee wa Monduli...
 
chadema wana malengo yao makini hata iweje 2015 wanashika dora. Huo ni mpango ndani ya makundi ya ccm kumchafua EL ili wamweke mtu wao na hata hvyo hawataweza kamwe..! Kwani 2015 ni cdm tu.

Kwanza ni dola na sio ''Dora'' mnaishika kwa ununuzi eeeh daaah ikulu ni mahali patakatifu...!
 
hizo ni mbinu tu za vita dhidi ya chadema!, maandamano yalitisha sana yale ati!, hizo habari ni za kizushi tu!

Itakuchukua muda mrefu kuelewa haya mambo kweli mwandishi alinusa mkataba wa kilaghai kati ya boss wa disco na chief wa maigizo toka 2011 leo 2015 watu wameshauziana kitambo 😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…