Mbowe acha siasa nadharia. Lema ni shujaa, ni kama Mandela

Dec 25, 2016
63
125
Lema ni kiongozi shujaa wa Tanzania ni sawa sawa na Mandela aliyepigana kuleta ukombozi wa bara la afrika kusini matunda ya lema yawezekana tusiyaone sasa hivi lakini tutakuja kuyaona mbeleni kabisa .

Mbowe na Joshua Nassari acheni cheap politics fanyeni siasa kwa vitendo nchi yetu kwa sasa inahitaji watu mashujaa kama wakina Lema. Lema historia yake wataisoma wajukuu zetu watatumia fikra zake kuleta mabadiliko chanya. Mbowe acha uoga nchi hii inataka wapinzani imara kama wakina Lema .

Kivuli kinashi


Lema ni Mandela wa Tanzania
 

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,607
2,000
Kumfananisha Lema na Mandela ni ulevi wa fikra.Halafu unapomtaja kama mtu imara ana uimara gani?mbona aliposikia christmas itamkutia selo akapatwa na mshtuko mpaka akaugua?
Kwa hiyo ukiwa imara huwezi kuugua?
 

Maua kilasa

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
1,040
2,000
You ccm why are you comparing Lema with Mbowe ? They are very good opposition leaders. Mbowe isnot the problem. We have to find the culprit?
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,751
2,000
Lema Hana Biashara yoyote Mjini hata Akifungwa Mwaka Mzima Mshahara wake wa Ubunge unaingia Kama kawa Kama kuna kitu atakosa labda ni Joto la Mkewe tu.

Mbowe ni Mfanyabiashara Mkubwa tu anajua athari za kuwa mbali na Biashara zake hasa kipindi hiki kigumu kunaweza kuangusha kabisa Biashara. Mbowe anajua kabisa Heshma na hadhi yake ndani ya Chama ni Fedha zake lazima azilinde kwa gharama zozote
 

upper east

Member
Nov 12, 2016
58
95
Mbowe is a failure...failure indeed

Lema is strong and reliable...we need strong people to lead the opposition especially in Africa

cowards like mbowe..zito..nassari...and others hawatufai
Acheni zenu nyie was tz kazizenu kulaumu watu tuu hamna lolote hao knambowe kwa talifa yenu Sasha wasoma ndomaana wamenyamaza tuu.lema yuko ndani mpaka sasa mmechukua hatua gani?
 

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,436
2,000
Mbowe is a failure...failure indeed

Lema is strong and reliable...we need strong people to lead the opposition especially in Africa

cowards like mbowe..zito..nassari...and others hawatufai
Mbowe anawarudisha nyuma CHADEMA Na Upinzani kwa Ujumla!
Lema anafaa kwani ni dare-devil,rude na confident!while Mbowe is meek,sheepish,and coward!mkitaka mpate Raila Odinga wa Tanzania:Weka Lema,toa Mbowe!
Naunga mkono hoja Mbowe anapwaya sana hiyo nafasi toka alivyomkaribisha Lowassa dicteta uchwara sio wa kuchekea ukimchekea atakutoa meno........
I second you...Lema anafaa!
Lema hata kama ni shujaa ila ni shujaa asiye na mahesabu,
Mbowe ana afadhali, japo kuna miscalculation anafanya
Upinzani Afrika ni kazi sana, utaishia kufungwa na wananchi wala hawafanyi kitu kushinikiza release yako
Akipewa nafasi atajifunza na kujirekebisha!
Nimeimisi ile CHADEMA ya 2015 backwards!CHADEMA hii ilituchangamsha hata sie uku CCM!Walikuwa wakisema wanaandamana na kweli utawakuta barabarani!ila CHADEMA hii ya 2015 onwards,tulitegemea itajaribu kumdhibiti Magufuli japo apunguze kubana sauti za ukosoaji,ila hakuna kilichotokea!Magufuli baada ya kupima kina cha maji ya CHADEMA kwa miguu,na akaona hayana mamba wala maporomoko,kaamua kupiga mbizi jumla jumla!Kazima bunge live,Upinzani Kimya,kakataza mikutano ya kisiasa CHADEMA kimya,kaonja asali sasa akaona isiwe tabu,kachonga na mzinga!CHADEMA na CCM wanategemeana!
CHADEMA Ikiwa Madhubuti,hata CCM Itakuwa Imara!Ila Imekuwa Kinyume!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom