Mbowe acha pupa, mambo ya chama hayaendi hivyo

Usivyokuwa na kumbukumbu leo umejikuta unameza ambacho umekuwa 'ukikitema' kila siku. Indirectly, giving salute to Rev. Peter Msigwa.

Indirectly, umekubali kuwa CCM na viongozi wa sampuli yake kuendelea kuwa madarakani ni akili ndogo kuongoza akili kubwa. Mambo hayaendi.

Asante kwa kukubaliana na Msigwa na wanaCHADEMA ambao wamekuwa wakitumia reference hiyo kuonesha namna CCM ilivyochakari.
Mkuu Makene acha mitego ya mahakamani kati ya wakili na mlalamikaji.

Maana yangu hapo ni kuwa Mh Mbowe ambaye ni just form six anaongoza wasomi wengi wenye PHD nk na hiyo ndio maana yake.

Nimesema hivyo sio kumbeza Mbowe bali ni kubeza msemo wa Msigwa na Chadema kwa ujumla mnaodhani kuwa usomi ndio kipimo cha uongozi bila kusahau mwenyekiti wenu mwenyewe ana eleimu ya kawaida tu kama mimi.

Uongozi ni kipaji na wala usomi hauwezi kuwa kigezo bali credit. Unaweza kuniambia mkwawa alisoma wapi? Mirambo? na wengineo,???
 
Mbowe hajakosea kitu chochote, amesema overall Rasimu si mbaya, sasa they will go into details kuangalia marekebisho madogo madogo ambayo watayatolea ufafanuzi kama chama. nini usichokijua?
 
RASHID mfaume Kawawa unajua elmu yake?
Mkuu Makene acha mitego ya mahakamani kati ya wakili na mlalamikaji.

Maana yangu hapo ni kuwa Mh Mbowe ambaye ni just form six anaongoza wasomi wengi wenye PHD nk na hiyo ndio maana yake.

Nimesema hivyo sio kumbeza Mbowe bali ni kubeza msemo wa Msigwa na Chadema kwa ujumla mnaodhani kuwa usomi ndio kipimo cha uongozi bila kusahau mwenyekiti wenu mwenyewe ana eleimu ya kawaida tu kama mimi.

Uongozi ni kipaji na wala usomi hauwezi kuwa kigezo bali credit. Unaweza kuniambia mkwawa alisoma wapi? Mirambo? na wengineo,???
 
Maoni yale ni ya mbowe na yeye ana haki kama mwananchi kutoa mawazo yake na chadema as taasisi lazima wakae wajadiri ili msemaji wa cdm atatoa mawazo ya cdm.
 
Mkuu Makene acha mitego ya mahakamani kati ya wakili na mlalamikaji.

Maana yangu hapo ni kuwa Mh Mbowe ambaye ni just form six anaongoza wasomi wengi wenye PHD nk na hiyo ndio maana yake.

Nimesema hivyo sio kumbeza Mbowe bali ni kubeza msemo wa Msigwa na Chadema kwa ujumla mnaodhani kuwa usomi ndio kipimo cha uongozi bila kusahau mwenyekiti wenu mwenyewe ana eleimu ya kawaida tu kama mimi.

Uongozi ni kipaji na wala usomi hauwezi kuwa kigezo bali credit. Unaweza kuniambia mkwawa alisoma wapi? Mirambo? na wengineo,???
sasa wewe umekosa vyote; kipaji na elimu pia.
 
Kwani ni lazima uanzishe topic mpya?? watu wengine mnakera!! kwani wewe ni msemaji wa CDM?
Please CDM haina vilaza wa aina yako!!!
 
Usivyokuwa na kumbukumbu leo umejikuta unameza ambacho umekuwa 'ukikitema' kila siku. Indirectly, giving salute to Rev. Peter Msigwa.

Indirectly, umekubali kuwa CCM na viongozi wa sampuli yake kuendelea kuwa madarakani ni akili ndogo kuongoza akili kubwa. Mambo hayaendi.

Asante kwa kukubaliana na Msigwa na wanaCHADEMA ambao wamekuwa wakitumia reference hiyo kuonesha namna CCM ilivyochakari.

naomba kufahamishwa kati ya ccm na cdm wapi kuna wasomi maana katika cdm, mbali na dr. slaa, baregu na kasulumbai wengine hawana degree!, mnyika na ujanja wake woote bado ni form six leaver (div. 1 ofcourse!) wengine sijui! na hao ma proff hawapo kwenye uongozi wa juu sasa akili ndogo inaongoza kubwa katika chama kipi kati ya hivi viwili?
 
Kwani ni lazima uanzishe topic mpya?? watu wengine mnakera!! kwani wewe ni msemaji wa CDM?
Please CDM haina vilaza wa aina yako!!!

mkuu kuna watu wengine bila kuisema chadema,mkono hauendi kinywani.!!
 
Just form 6 .... ? Kweli kazi ipo ... au mpaka asome UDSM? ndio ujue kafika university ?
 
tatizo kubwa sisi atujui privacy comment na koment ambayo utolewa kiujumla au general comment hili la kamanda mbowe ni maoni yake kikatiba siku nyingine utumie medula oblangata na si makamasi
 
Mzee wa anga kapoteaa. Yule naye kafulia sijui kwa nin mnamuacha aendelee kuwa chair wakati kuna vijana wa ukweli. Mpigeni chini banaa
 
vijana wa lumumba naona mwsho wa mwez umekarbia mmeanza tunawajua! MBOWE KAMA MTANZANIA ANA HAKI YA KUTOA MAON YAKE si lazma akiongea mbowe ni maon ya chama chake anaweza kuongea kama mwananch wa Tanzania,..Cc..ham d, ,bungen,tandale one and othr lumumba staff
 
naomba kufahamishwa kati ya ccm na cdm wapi kuna wasomi maana katika cdm, mbali na dr. slaa, baregu na kasulumbai wengine hawana degree!, mnyika na ujanja wake woote bado ni form six leaver (div. 1 ofcourse!) wengine sijui! na hao ma proff hawapo kwenye uongozi wa juu sasa akili ndogo inaongoza kubwa katika chama kipi kati ya hivi viwili?

Jifunze kutofautisha kati ya akili na elimu,unaweza kuwa na elimu kubwa kama Kawambwa lakini akili yako ikawa ndogo kama ya Mulugo!
 
Hivi karibuni tumesikia taarifa kutoka kwa mzee wa anga, bwana Mbowe, akiisifia rasimu ya katiba kuwa 'ipo poa' kwani imebeba mapendekezo mengi ya CHADEMA kama lile la serikali tatu.

Kauli hiyo ya mzee wa anga imezua kizungumkuti kwa watanzania wengi, kwani haijulikani kama kauli hiyo ni msimamo wa chama ama vipi.

Katika chimba chimba zangu, leo nimegundua kuwa, Dr Slaa kama katibu mkuu wa CHADEMA amewataka watanzania wawe na subira ili uongozi wa CHADEMA uweze kupitia kila kipengele katika rasimu hiyo ndipo itoe maoni.

Maelezo ya Dr Slaa kwa watanzania wenye kiu ya kusikia maoni ya CHADEMA kuhusu rasimu ya katiba ni haya hapa;

"Habari watanzania,

Nafahamu watanzania wengi wana hamu ya kusikia tamko la CHADEMA juu ya rasimu ya katiba mpya kwani CHADEMA ndio serikali yetu ya nguvu ya umma ambayo inasimamia uzalendo kwanza.

Uongozi wa CHADEMA utatoa maoni yake juu ya kupokea rasimu hii ili watanzania watambue na nguvu ya umma kupitia na kupitisha.

Ntapenda utulivu na kupitia kila vipengele vya rasimu ya katiba mpya kila mtanzania kufafanua vipengele mbalimbali. Mungu mkubwa kwa binadamu wake."

Source: Jukwaa la siasa, Facebook.

My take;

Kwa maelezo haya, mzee wa anga alikurupuka kutoa maoni yake kwa pupa wakati chama kama oganaizesheni hakijakaa na kuijadili rasimu hiyo. Je, ni vipi kama chama kikija na moni tofauti na yale aliyo yatoa Mbowe?

Mzee wa anga hemu uwe na subira na uzitambue 'protoko' za chama, kwani unapoongea wewe kama Mbowe ujue una wakilisha CHADEMA kwa nafasi yako ya uenyekiti wa chama hicho.

Mzee wa anga mambo ya chama hayaendi hivyo.

Kingwendu Family : Sofia 2011 - YouTube
 
Back
Top Bottom