Mbosso: Natamani Diamond aongee nimjibu

Mbosso: Natamani Diamond aongee nimjibu

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,679
Reaction score
9,839
Akizungumza na Bongo FM msanii aliyeachiwa aondoke bure WCB, Mbosso Khan amesema kuwa anataka kumjibu diamond mwenyewe ila anasubiri aongee amjibu.

Ameyasema hayo akielezea kuhusu utunzi wa hitsong ya Pawa ambayo Babalevo alitusanua ukweli kuwa 50% ya wimbo umeandikwa na Diamond.

Watu wengi awajafuraishwa na interview hiyo ya Mbosso ambayo alionekana kumshambulia boss wake wa zamani bila sababu yoyote ya msingi. Wengi wakitafsiri kama kulewa sifa baada ya EP yake kufanya vizuri na kujisahau.

Sisi wadau wa muziki tunamshauri aendelee focus na muziki wake anapoelekea atateleza na kupoteza hiki kidogo alichojenga. Aendelee kuheshimu wawekezaji kwenye industry safari yake bado ni ndefu sana EP moja haitoshi kuanza kuvimba.
 
Wahenga walisema mtumikie kafr upate mtaji,, wote hawa akina Rayvanny,Konde boy na Mbosso nawaona kama watu wasio na shukrani kabisa ,no matter how Diamond aliwanyonya kwa kiasi Gani, lakini wanapaswa kutambua kuwa bila Mondi wasingefika level walizo nazo kwa sasa.

Kuna wakati kwenye maisha Huwa tunafanya au kufanyiwa mambo ya kushamgaza na kusikitisha ili mradi tufikie malengo yetu,hawa wasanii wa Mondi wawe na adabu.Mimi hapa ni mwalimu waweza nikuta nalamika juu ya mshahara wangu kuwa kidogo lakini nikikaa kwa Kutulia naishukuru serikali kwa kuniajiri licha ya kunilipa kidogo,maana bila kuajiriwa huenda maisha yangu yangekuwa magumu sana

Nawaona hawa akina Rayvanny, Konde boy na Mbosso kama wanafunzi wajinga wanaolaumu walimu wao wa ngazi za chini kwa kuwachapa fimbo ili wazingatie elimu na baada ya kufanikiwa kupitia elimu wanafunzi hao wanaanza kulalama kwa nini walimu hao waliwachapa fimbo

Shubamiti
 
Mkuu umemwaga madini konki sana.

👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
 
Ila tukubaliane kwamba Mbosso ni Mtunzi mzuri kuliko Mond.. na pia baadhi ya maneno yaliyomo mule kwenye PAWA tayari Mbosso aliwahi kuyatumia ktk nyimbo zake za nyuma hivyo nina nina uhakika kabisa huu wimbo wa kuitwa Pawa umetungwa na kuandikwa na Maromboso mwenyewe
 
Diamond ndio msanii wa kwanza wa bongofleva kuandika mistari yenye vina kati na mwisho. Hiyo ni 2009 leo ni 2025 still anaandika mawe.
 
Hauwezi ukamtungia mwenzako hitsong kama pawa halafu wewe ukaimbe mapepe huu ni uongo na ndio maana dogo anasubiria tu aropoke yeye mwenyewe na sio chawa wake ili amjibu na mengine yaliyo moyoni
 
Umeua
 
Wahenga walisema mtumikie kafr upate mtaji,, wote hawa akina Rayvanny,Konde boy na Mbosso nawaona kama watu wasio na shukrani kabisa ,no matter how Diamond aliwanyonya kwa kiasi Gani, lakini wanapaswa kutambua kuwa bila Mondi wasingefika level walizo nazo kwa sasa.

Kuna wakati kwenye maisha Huwa tunafanya au kufanyiwa mambo ya kushamgaza na kusikitisha ili mradi tufikie malengo yetu,hawa wasanii wa Mondi wawe na adabu.Mimi hapa ni mwalimu waweza nikuta nalamika juu ya mshahara wangu kuwa kidogo lakini nikikaa kwa Kutulia naishukuru serikali kwa kuniajiri licha ya kunilipa kidogo,maana bila kuajiriwa huenda maisha yangu yangekuwa magumu sana

Nawaona hawa akina Rayvanny, Konde boy na Mbosso kama wanafunzi wajinga wanaolaumu walimu wao wa ngazi za chini kwa kuwachapa fimbo ili wazingatie elimu na baada ya kufanikiwa kupitia elimu wanafunzi hao wanaanza kulalama kwa nini walimu hao waliwachapa fimbo

Shubamiti
rich mvoko vp mkuu
 
Hii habari umeiweka kichonganishi sanaa we chawa wa wasafi....mboso kaongea kwa heshima sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom