hovyohovyo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 547
- 159
Dah Kuna Mshikaji wangu wa Yombo Nae True Huwa Anatafuna haswa Mifupa ya Kuku
Dah Kama ulikuwepo vile hayo Maneno Nishamuonya kwa Sana hadi Nikaacha ila ndio vile tena Mbongo akishaamua Maisha yake Kumbadilisha ni Kazi Si Unaona kwa Mkuu wetu wa Kaya... No Changes piga kelele zote Safari zipo pale pale, Piga kelele zote no Maisha Bora na vingine ndio vile tusubiri tu wapite na muda wao uishe japo hatujua wataawachia nini watakao pokea Nchi ila Tusije kuta yale yale kama kwenye Club za Simba na Yanga Uongozi ukitoa account inakutwa haina kitu au kuna mia mbili na centi sabini na tano tu...mwambie kama ni kuku wa kizungu asitafune mpaka mifupa yake coz kwenye bones ndan kuna chemicalz kibao za hao kuku zilizowakuza withn a month, afanye hivyo kwa kuku wa kienyeji tu!
kweli hiki ni kichekesho coz in reality m-bongo hawezi ku-think kihivyo coz akiona mzungu ye anawaza misaada tu
Ase bana umeviringishwa na minyororo ya akili!!!
Huenda hufatilii budget ya nchi hii, usingenambia hivyo (more za 60%) ya budget inategemea wahisani ambao 90% ni wazungu. Ukweli haupingwi kwa kuukataa bali unapingwa kwa kutengeneza alternative ambayo ni better than it