Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,487
- 2,351
Wadau kama mtakumbuka Makonda alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM aliingia na mbinu ya kushangaza sana ya kwenda kwenye Maeneo ya kukutana na Wananchi kwa kutumia Mkokoteni, Trekta au kupanda Lori n.k.
Baada ya Kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha nilitarajia angeendeleza Mbinu ile ile lakini Sijamwona tena kuingia na Mkokoteni wala Trekta au Lori.
Je Mbinu ile ilikuwa ni MAIGIZO Tu?
Baada ya Kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha nilitarajia angeendeleza Mbinu ile ile lakini Sijamwona tena kuingia na Mkokoteni wala Trekta au Lori.
Je Mbinu ile ilikuwa ni MAIGIZO Tu?