Mbona watokwa machozi?

fourtypercent

Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
53
Reaction score
20
Mlokole mmoja kaenda ugenini, kutokana na safari kuwa ndefu kafika kachoka halafu njaa imembana balaa, wenyeji kama kawaida wakamkaribisha kwa viazi bahati mbaya bado vya moto. mlokole kutokana na njaa akabugia kumbe cha moto!, kukitema akaona aibu hivyo ikabidi akimeze harakaharaka, mara machozi yakaanza kumtoka, wenyeji wakamuuliza kulikoni ndugu?, akajibu "nikifikiria mateso ya Bwana Yesu msalabani halafu watu bado wanatenda dhambi machozi yananitoka"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…