By Robert Nesta MarleyEmancipate yourself from mental slavery, none but yourself can free your mind
Amka toka kwenye hadithi za bunuasiWana dunia,
Hapo zamani nilikuwa nashangaa sana jinsi Amerika anavyojikomba kwa taifa la Israel, lakini kadiri muda unavyopita ndivyo nami nazidi kudhania kuna jambo la siri viongozi wa juu wa Amerika wanajua juu ya taifa hili kongwe. Je kitu gani hichoo?
Kwa ufupi raia wa Amerika kama watu wa Ujerumani wanafamu fika kuwa wana wa Israel ni kama mafuriko huwezi kuwazuia- miaka hiyo ya nyuma pale walipokuwa wakimbizi wakikimbia serikali ya kinazi huko Ulaya taasisi nyingi za Marekani walifanya kuwabagua katika kazi za serikali. Hivyo wana wa Israel wakawa wanafanya uigizaji - HOLLYWOOD ile kufumba na kufumbua macho wakashangaa wamepata ukwasi mwingi sana.
Kitu kingine sio Marekani tu bali pamoja na mataifa makubwa yanayofuatia ya Urusi na Uchina kila kukicha kujikomba komba. Tumeona urusi ilivyopiga breki baada ya kutoa tarifa ya kukashifu taifa teule katika vita yake na ukraine. Pia china sasa pesa zake kila kukicha amatafuta campuni za kiisrael awekeze.
Ingawa ata ukisoma agano la kale waweza pata ukakasi kwamba mbona kama wana ubaguzi mbona wanapendelewa, labda kutokana na ufupi wa akili zetu twashindwa kuona mpango wa aliye juu.
Ni hayo tu mazeee
Nani aliwapa maarifa hayoNaomba kutochangia katika IMANI. Nitazungumzia uhalisia.
Wayahudi kama jamii nyingine kama Indians waliamua kuwekeza kwenye multinational companies na kujipenyeza kwa wanasiasa hilo tu lilitosha kupenyeza ajenda zao hakuna kitu so special kwao ndio maana hata wanazi walipotaka kuwafuta hakukuwa na aliens waliokuja kuwaokoa.
Mfano mdogo: familia ya Bush kwa sasa usitegemee itadondoka kama wakiendelea kuendelea na mifumo ya dunia
Emancipate yourself from mental slavery, none but yourself can free your mind
Mazingira yamewapa maarifa hayoNani aliwapa maarifa hayo
Mifumo yao ya malezi ndio chanzo.Wanawake wa kiisrael ndio wanawake wanaojua malezi bora kwa watoto,kwa kuwajengea watoto positivity spirit watoto tangu wadogo na hii ndio imewashape hadi ukubwani kuwa vile.Hadi sasa Hakuna muisrael ombaomba hata kama wapo ni asilimia kiduchu sana.Hii ni kutokana na mifumo yao ya malezi na uchumi,wamelelewa kuwa wafanyabiashara ndo watu wanaofunzwa ujasiliamali na uchumi ikiwemo uwekezaji tangu wadogo Sana. Na wao ndio waasisi wa formula zote za kufanikiwa zinatumiwa na wachina, wahindi, hata wachaga, wakinga,wote wameiga mfumo wa kiyahudi wa kufanikiwa katika biashara.Nani aliwapa maarifa hayo
Nchi 14 barani Afrika wamepinga Israel kuwa mwanachama wa AU ikiwemo TZ juzi kati,unahisi hizo nchi zote hawajui hilo jambo ni wewe tu ndie ujue ewe Mtumishi?Kuna jamboo kwenye ile nchi we endelea kukaza shingo
Sasa hivi wamejaa kwenye mataifa mengi ya ulaya na Marekani tena wakiwa na nyadhifa za juu maana wanahesabiwa kama watu wa mataifa hayo ukiacha wachache wanaotunza mila na tamaduni za kiyahudi, kwa hiyo maamuzi mengi dhidi ya Israel hufanywa na walowezi ambao wameshikilia sehemu kubwa zenye ushawishi za mataifa ya Magharibi na Kiongozi yoyote akijifanya ana misimamo atafanyiwa figisu za maana au auwawe. Hawa jamaa hawanaga masihkara linapokuja suala la usalama wao. Taasisi nyingi za kipelelezi au uundanja wa silaha wamejaza watu wao, Congress ya US wamejaa, CIA wapo na kwingineko Duniani.miaka hiyo ya nyuma pale walipokuwa wakimbizi wakikimbia serikali ya kinazi huko Ulaya taasisi nyingi za Marekani walifanya kuwabagua katika kazi za serikali. Hivyo wana wa Israel wakawa wanafanya uigizaji - HOLLYWOOD ile kufumba na kufumbua macho wakashangaa wamepata ukwasi mwingi sana.
Hiyo namba 6 ungeiandika kwa herufi kubwa Boss. Umenena vyema kabisa.Mifumo yao ya malezi ndio chanzo.Wanawake wa kiisrael ndio wanawake wanaojua malezi bora kwa watoto,kwa kuwajengea watoto positivity spirit watoto tangu wadogo na hii ndio imewashape hadi ukubwani kuwa vile.Hadi sasa Hakuna muisrael ombaomba hata kama wapo ni asilimia kiduchu sana.Hii ni kutokana na mifumo yao ya malezi na uchumi,wamelelewa kuwa wafanyabiashara ndo watu wanaofunzwa ujasiliamali na uchumi ikiwemo uwekezaji tangu wadogo Sana. Na wao ndio waasisi wa formula zote za kufanikiwa zinatumiwa na wachina, wahindi, hata wachaga, wakinga,wote wameiga mfumo wa kiyahudi wa kufanikiwa katika biashara.
Wao ndio wanaotawala duniani kupitia mifumo yote ya uchumi ikiwemo mabenki, hollywood umiliki wa kampuni kubwa za music na filamu, viwanda,tafiti kubwa za sayansi,ujenzi,nk.
Nadokeza kwa uchache mfumo wao wa malezi kwa watoto.
1.Mungu kwanza
2.Kusaidiana wao kwa wao
3.Kukopeshana bila riba
4.kupeana tenda wao kwa wao
5.ufunzwa elimu ya pesa tangu wadogo na kujengewa nidhamu ya pesa mfano mgawanyo wa pesa ya matumizi, sadaka, akiba, nk.
6.Uaminifu hapa ndipo watu weupe utupiga gap la kufanikiwa.
Hata wachaga na wakinga hapa ndipo utupigia gap weka mtoto wa ndugu yako kwenye biashara yako ule mabua.
7.