Sababu moja ni tuko "loose" sana. Ukiwaambia Polisi yule ni mgeni na sidhani kama anavibali halali vya kuwepo nchini, basi unakuwa kama vile umdwapa mradi wa kuvuna pesa wao wanaita deal.
Binafsi niliwalengesha jamaa wawili, mkongo na mrundi, ambao walifoji majina na vielelezo mpaka wakapata birth certificates toka RITA kwa waheshimiwa Uhamiaji. Waligeuzwa mradi na mpaka sasa wanadunda. Shame on them who left to live illegaly!!
Kwa Dar, Arusha na Moro unaweza ku-site kiurahisi tu, wapi wanaishi wakongo, warundi,wanyarwanda na wasomali hata wakenya.
Jambo la kuwatimua illegal inhabitants ni simple. Mbona Malawi walifanya wakafanikiwa kwanini sisi tushindwe.