Mbona viongozi wa Chadema Wamekazana kufanya mahojiano kwenye TV Rafiki za CCM?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Joseph Mbilinyi aka Sugu alikuwa EFM

Leo Lema ilikuwa awe Clouds TV lakini akapatwa na dharura

Kesho John Heche atakuwa yuko Power Breakfast Clouds FM

Je, ni Matunda ya Maridhiano au ni Swaga tu za Wana wa Ufipa st sasa Mikocheni? 😂😂

Kwako Lucas
 
Pety, simple-minded, and rubbish threads from simple minds?
 
Ubabe na Vitisho vya CCM dhidi ya Vyombo vya Habari unazidi kwisha Nchi haiwezi kuendeshwa kwa ubabe na vitisho Nchi huongozwa kwa Hekima Busara Katiba na Sheria.

Ushawishi wa CHADEMA kwa Watanzania uko juu kuliko wa CCM na huo ndio ukweli👈
 
Joseph Mbilinyi aka Sugu alikuwa EFM

Leo Lema ilikuwa awe Clouds TV lakini akapatwa na dharura

Kesho John Heche atakuwa yuko Power Breakfast Clouds FM

Je, ni Matunda ya Maridhiano au ni Swaga tu za Wana wa Ufipa st sasa Mikocheni? 😂😂

Kwako Lucas
Kinachofanyika sio kuwa hizi TV ni rafiki wa ccm, Bali chama kikikaa madarakani muda mrefu hutengeneza marafiki wa uongo ili kuendelea kubaki madarakani. Na wafanyabiashara wengi ikiwemo wa hivyo vituo hujificha humo kwenye huo urafiki fake ili kufanya biashara zao haramu, ikiwemo na kukwepa kodi, ama kupewa matangazo ya serekali kwa upendeleo.
 
Point
 
Joseph Mbilinyi aka Sugu alikuwa EFM

Leo Lema ilikuwa awe Clouds TV lakini akapatwa na dharura

Kesho John Heche atakuwa yuko Power Breakfast Clouds FM

Je, ni Matunda ya Maridhiano au ni Swaga tu za Wana wa Ufipa st sasa Mikocheni? 😂😂

Kwako Lucas
halafu mbona ni wanasiasa magwiji ya kubeti tu ndio yanatrendi sana 🐒
 
Joseph Mbilinyi aka Sugu alikuwa EFM

Leo Lema ilikuwa awe Clouds TV lakini akapatwa na dharura

Kesho John Heche atakuwa yuko Power Breakfast Clouds FM

Je, ni Matunda ya Maridhiano au ni Swaga tu za Wana wa Ufipa st sasa Mikocheni? 😂😂

Kwako Lucas
Vyombo vya habari vimepata Pumzi kidogo....ndivyo vinawaalika.

Zamani vilikuwa vinaogopa.

Siku hizi Hadi Millard Ayo anaonesha Maandamano ya Chadema😄😄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom