Mati Mkenda
Senior Member
- Mar 4, 2018
- 171
- 211
Mbona vilio vya social media mitaani sivioni?
Ingekuwa naishi nje ya nchi nikawa napitia tu posts kikundi fulani cha watu kwenye social media, ningeweza kupata picha ya society ya Watanzania ambayo iko very desparate na uongozi uliopo madarakani.
Cha ajabu kelele nyingi za malalamiko naziona kwenye social media. Lakini kwa kuwa naishi mitaani tena uswahili haswa, watu wengi sana wa maisha ya kawaida ambao kimsingi ndio walipaswa kulalamika sana, ndio hao wanaipongeza serikali hii kwa nguvu zote.
Ndio hao wanaoonekana kuwa wako contented kabisa na serikali yetu. Ndio hao wanampongeza Rais kwa kuwa amerejesha heshima yao ambayo ilikuwa imepotea, watoto watoto wao wanasoma elimu bure, hospitali na sehemu nyingine wanathaminiwa tofauti na zamani, na huduma nyingine za jamii zimeboreka.
Sasa najiuliza hicho kikundi kidogo cha kwenye “Social Media” ni nani anayewatuma kuleta chokochoko hapa nchini, na ni kwa maslahi ya nani?