Sisi wa 80's kifo kimetuogopa.Habari? Katika harakàti zangu za kufuatilia habari mitandaoni Huwa napitia pitia mtandao wa Facebook nilichogundua vifo vingi vinatokea vya watoto wa 2000 RIP zimekuwa nyingi mno mpaka najiuliza ndio tumeingia zama mpya za kizazi Cha 2000 kupukutika au sie wa 80's tunajionea sio changamoto kwetu,au ni laana ya kizazi.
Ngoma imezagaa sana. Ila vijana wanafakamia tu.Kama hawakuona ukali wa ngoma watapuuzia tu na kuparamia mishangazi yenye ngoma na kuishia kufa
We ni wa lini?Laana kutoka kwa nani?
Kifo kipo kwa kila mtu hakiangalii umri
Hata nyie wa 80's mnakufa sana tu
60'sWe ni wa lini?
tulipitia changamoto nyingi sana kama njaa kali, magonjwa kama ndui, pepopunda, polio, kipindupindu, malaria, taifodi, ukoma, kifua kikuu na UKIMWI, tulinusurika na majanga hayo tushukuru MunguSisi wa 80's kifo kimetuogopa.
No reform no election
Hakikatulipitia changamoto nyingi sana kama njaa kali, magonjwa kama ndui, pepopunda, polio, kipindupindu, malaria, taifodi, ukoma, kifua kikuu na UKIMWI, tulinusurika na majanga hayo tushukuru Mungu
Hongera na karibu katika uzee.60's
Aimen.Hakika ardhii imemeza vijana wadogo sio 2000's mpaka late ya 1990
Waendelee kupumzika na kupata pumziko Jema makamanda wetu, tunawakumbuka sana, safari ni yetu sote.
cc secretarybird
Amen Mungu atujalie mwisho mwema,Aimen.
Siku yangu ikiwadia naomba nife kifo chema kisicho na mbambamba.