miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,516
Rais Magufuli naye aliwahi kulalamika eti wakina mama wanamuonea gere anapoteua "mahawara"zake!
Hili sio tatizo la wanachuo tu hata kwenye teuzi za Rais malalamiko ya rushwa ya ngono yapo na Rais Magufuli analijua hilo ameshaliongelea mara kadhaa.!
Yeye Rais alikuja kutushtakia sisi raia eti "akina mama wanalalamikia upendeleo wa teuzi zake"wakati yeye yupo "fair"kwa jinsia zote!
Inawezekana chimbuko la hii rushwa ya ngono ni huko juu.....vyuoni wanaiga tu....Mama yetu Jenista Muhagama naye vipi?????