Nenda Kashitaki kwa Rais kwamba wanaume hawataki kuwaoaMmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma
Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Dah thread Tayari ππππMmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma
Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
financial services ndio umeamua kuja kinamna..πMmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma
Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Mbona ni mkorofi weweπ, ndiyo maana ulikosa mbususu sababu ya CD.financial services ndio umeamua kuja kinamna..π
Haya utapata mume
Jaribu mtaani kwako kwanza nduguMmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma
Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Nani hii hakutoshi?[emoji4]Please ukipata wengi nipasie pia mkuu kuku[emoji12]
Haya mabango yote yametoka wapi..?Mbona ni mkorofi weweπ, ndiyo maana ulikosa mbususu sababu ya CD.
Uoe pia upunguze idadi ya wanaolalamika.
Mbona hujaweka sifa zako kama umri, dini, mahali ulipo, nk?Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma
Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Nani huyo? Huenda alinibwagaNanihii hakutoshi?[emoji4]
Jifariji eeh utaoa huyo huyo uliyemtumia, umempikilisha matambi wewe unataka kumuacha how?πHaya mabango yote yametoka wapi..?
Mtu kuambiwa ukweli tu ndo unifanyie vitimbi vya namna hii!
Kuoa nitaoa Tena bikira..ππ
Mmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma