godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Nilikuwa napata MB 500 za Internet kuperuzi Facebook na You Tube,lakini kuanzia jana nikitaka kujiunga kifurushi cha Internet cha Tshs 500 ambapo nilikuwa napata Megabyte 500,lakini imekuwa tofauti napewa airtime Halotel kwenda Halotel dakika 30 na MB 250. Hii imekaaje wenzangu mnaotumia mtandao wa Halotel?
