😡:angry:😡:angry:😡:angry:Kwa kifupi DAWASCO, TANESCO na MUHIMBILI, yaani ni kama hivi vitengo havipo kabisa, wahusika wamelala, utasikia kila kukicha wako kwenye semina, warsha, mikutano na upuuzi wa kila aina, wao ni kulipana maposho tu ya kila aina.
Ni rahisi mno kwa wahusika kufanya lolote, ila wao wanaangalia matumbo yao tu, hivyo vitengo vyote viko chini ya wizara zake, cha kustaajabisha mawaziri ndio utasikia wanaponda mahela kwa masafari, na Mh JK anawatazama tu?! Inasikitisha kwa kweli!