Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,363
- 5,110
Nakumbuka zamani kidogo chuo cha Mwanza SAUT palikuwa hapaishiwi migomo migomo tofauti na miaka hii.
Hii inamanisha nini zama zimebadilika watu wanadai haki kwa njia nyingine au kero zimeisha zilizokua zinasababisha migomo.
Binafsi nimesoma CBE tangu naanza hadi namaliza sikuwahi sikia mgomo chuoni kwetu wala chuo jirani.
Zamani hata mashule ya sekondari walikua wanagomea hata misosi siku hizi siskii mambo ayo au tuna kizazi cha watu wasiojitambua haki zao?