Habari JF,
Kama kichwa tajwa kinavyosema,
Nimeshaandika threads za kutosha kutafuta mke wa kuoa lakini sipati jamani. Hivi ni kwanini? Au madada hamuamini mtu anaposema anataka mtu wa kuoa? Mimi nataka wa kuoa niko serious jamani niko gentleman nimetulia kuhusu vigezo vinapatikana PM ukinifollow huko.
Tatizo lenu mnaoleta hiz thread zakutafuta wake cjui waume weng choka mbaya, waume za watu au wake za watu, weng wanasaka papuch mwingine anakua siriaz anakupiem badae anakuja kulia huku amelizwa hivyo tafuten makanisan, na sehemu nyingine mitandaon huku nikupoteza mudaHabari JF,
Kama kichwa tajwa kinavyosema,
Nimeshaandika threads za kutosha kutafuta mke wa kuoa lakini sipati jamani. Hivi ni kwanini? Au madada hamuamini mtu anaposema anataka mtu wa kuoa? Mimi nataka wa kuoa niko serious jamani niko gentleman nimetulia kuhusu vigezo vinapatikana PM ukinifollow huko.
unakosea mkuu..inamaana hakuna mke wa kuoa?Tatizo lenu mnaoleta hiz thread zakutafuta wake cjui waume weng choka mbaya, waume za watu au wake za watu, weng wanasaka papuch mwingine anakua siriaz anakupiem badae anakuja kulia huku amelizwa hivyo tafuten makanisan, na sehemu nyingine mitandaon huku nikupoteza muda
unakosea mkuu..inamaana mtandaoni hakuna mke wa kuoa?Tatizo lenu mnaoleta hiz thread zakutafuta wake cjui waume weng choka mbaya, waume za watu au wake za watu, weng wanasaka papuch mwingine anakua siriaz anakupiem badae anakuja kulia huku amelizwa hivyo tafuten makanisan, na sehemu nyingine mitandaon huku nikupoteza muda
Hivyo vigezo vyote Vinapatikana PMjamani kwani huko pote unapopita hawapo mpaka utafutie mtandaoni??
labda umwage CV yako hapa ,
Una Degree ngapi au Bashite?
Una kabati ya Mbeho?
Account yako bank inasomekaje ?
Una watoto hawa wa kusingiziwa?
N.k
Mie sipo kwenye List ...nina wajukuu tayari
Huyo nilikuta ni mwanafunzi bado...nikaamua kibaki nae kama rafiki tu....Kuna binti nataka nikutane nae
Si umuoe huyu!!! Anza kurekebisha mambo na umuoe