Mbona sioni?? Nini hiki??

Mmmh!!!Mbona huu mdude kwa hapo mbele unafanania na 'wapigwe tu'???Kama picha inakujakuja vile!!!Aaaakh ni walewale,ukoo wa panya."TANZANIA TANZANIA,AMKA,AMKA".
 
Mama naniliuuu? naomba miwani yangu hapo juu ya friji. Sioni kabsaaaa!:der:
 
Kumbe limekua kubwa kiasi hiki, wacha CAG achakachue maana wakuu watang'oka
 
Natamani kung'olewa kucha, macho, na meno bila ganzi. Mbona hiyo picha ya kuchora taswira inakuja ya Pinda? Na aliwe tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…