Mbona sielewi maisha yanavyoenda, wakuu, nyie mnaishi vipi mtaani?

tafuta leseni mkuu juzi tanesco wametangaza kazi wanataka madereva zaidi ya 200 usichague kazi
tanesco wanahtaji dereva mwny leseni class C. na watawala wa hii nchi wameweka sheria kwamba mtu asipewe class C kama hajatimiza miaka 30. jamaa hapo ana miaka 26,unategemea nn?? mm nmepambana lakn nmeishia kupata leseni class C1 C2 and C3. japo nna umri mdogo kwa jamaa. kwa hyo things are'nt easy buddah!!
 
ramani ni kuwa nenda kiwandani kiwanda cha cello, Mimi nimekupa ramani japo uende mwenyewe, ukitaka kupelekwa na Mimi, kwa maana ndio shughur zangu Mimi kupeleka watu kwenye machimbo, utanilipa 7000.
 
Hata sisi tulikuwa bongo baada ya kuona ramani haisomi tukaja mikoa mingine. Huku kazi ni nyingi, mfano, ukijishughulusha na kulima angakau nusu eka tu ya nyanya/vitunguu wewe siyo masikini ndani ya miezi 3 tu! Huku kaka watu wana PhD waajiliwa weekend kama hii tunachimba almasi/dhahabu kujiongezea kipato! Wengine tunaachana na ajira kabisa! Njoo mikoani kaka!
 
Kama kweli una nia ya kusaidia na si vinginevyo anatakiwa apate uhakika wa kazi then iyo 7000 akulipe baada sio kabla.
 
  • Thanks
Reactions: _ID

ukisoma vizuri comment yangu utaelewa vizuri, najua kuwa hana kitu,nimempa ramani pa kwenda , sasa siwez kuacha mda wangu kwa kumsindikiza yeye,ila akiitaji kumpa taff, basi atanilipa. piaa malipo yanakuwaga baada ya kupata anachotak,na Mimi sizungumzi kutoka usingizini nazungumza kitu ninachokijua, kwa maana ni kitambo nipo kwenye hii game, kutuma picha inazungua simu yangu mpaka niwe na app ya jamii forum, ningemtumia na picha kabisa kutika machimbo ya viwandanii.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
ramani ni kuwa nenda kiwandani kiwanda cha cello, Mimi nimekupa ramani japo uende mwenyewe, ukitaka kupelekwa na Mimi, kwa maana ndio shughur zangu Mimi kupeleka watu kwenye machimbo, utanilipa 7000.
sawa
 
Hata sisi tulikuwa bongo baada ya kuona ramani haisomi tukaja mikoa mingine. Huku kazi ni nyingi, mfano, ukijishughulusha na kulima angakau nusu eka tu ya nyanya/vitunguu wewe siyo masikini ndani ya miezi 3 tu! Huku kaka watu wana PhD waajiliwa weekend kama hii tunachimba almasi/dhahabu kujiongezea kipato! Wengine tunaachana na ajira kabisa! Njoo mikoani kaka!
Mkoa ganii
 
Usikate tamaa mkuu; bado una nafasi ya kutoka hapo ulipo.

achana na betting

kama upo mjini na unaona ni pagumu; fikria kwenda mkoani angalau uanze kuchangamkia fursa za kilimo na ujitume kwa nidhamu

ipo siku utafanikiwa

MUNGU NI MWEMA.
 
Hata sisi tulikuwa bongo baada ya kuona ramani haisomi tukaja mikoa mingine. Huku kazi ni nyingi, mfano, ukijishughulusha na kulima angakau nusu eka tu ya nyanya/vitunguu wewe siyo masikini ndani ya miezi 3 tu! Huku kaka watu wana PhD waajiliwa weekend kama hii tunachimba almasi/dhahabu kujiongezea kipato! Wengine tunaachana na ajira kabisa! Njoo mikoani kaka!
Upo mkoa gani mkuu
 
Niko mtaani hapa, sioni ramani kabisa, umri unaenda, mwili unanisumbua unataka kuoa, pesa haionekani, huna hela hapa mjini kila mwanamke anakuona kikalagosi ni virugu na kichwa kuchanganyikiwa, mpaka sasa sina macho miliki (26 year Old) zaidi ya
-Account tatu za kubet ,betpawa ,1xbet,premiaer bet

-Degree moja, educationa (eco na geo)
-Simu tecno wx3
-Sina pesa
-Sina demu
-Naishi kwa shemeji, (hapa uhakika kula upo)
-Sina hata geto (hiki ndio kinaniumiza akili)
-Nadaiwa Loan board

Natafuta kazi za kufanya kujitoa kwenye hili wimbi linalonizunguka ,naangukia pua, biashara ngumu, kila nikifanya mtaji unapota miujizically,tabu kweli kweli

Saizi akili imeduma kabisa, sielewi naona jua linachomoza na kuzama, jana nilikuwa natembea jion kuangalia hata fursa naona kila mtu yupo busy hakuna msaada, nikaona machupa mawili ya maji Kilimanjaro yametumika, mara nikajikuta naokota akili inaniambia yakiwa mengi unaweza kuyauza na kupata kipato, naanza kuokota makopo hii si dalili za ukicha kweli au mimi sielewi.

Daaa
Kilichokuharibu ni ulipoanza kamari( kubet)
 
Mtafute Pep Gurdiola mweleze shida zako mkuu .
 
upo mkoa upi? kama ni dzm utaona pagumu mana huko hawalimi ni wanatumia.ushaur huenda mna bonge la eneo home mkoa kaa angalia ni zao gan linawatoa watu.au biashara flan hiv uitizame
 
ramani ni kuwa nenda kiwandani kiwanda cha cello, Mimi nimekupa ramani japo uende mwenyewe, ukitaka kupelekwa na Mimi, kwa maana ndio shughur zangu Mimi kupeleka watu kwenye machimbo, utanilipa 7000.
Nenda lumumba huwa wanatoa hizo buku saba, kama huwezi kumsaidia jamaa basi wewe sio muungwana
 
Hi hanganue masite ya KUJENGA mkuu

MBONA mie na vyet Sina kaz nasonga

NAPATA mtaji mkulima nalima

NAPATA ya kulipa pango

NAPATA na **** napo HITAJI SIWAJUA RAHAA YA DEM UMFAIDI NI VEMA KUMUONGA

AMKA ASUBUH ZAMA MASITE SAIDIA FUND NDAN YA MIEZ AU MWAKA INAKUWA FUND MAISHA YANAENDA
 
Back
Top Bottom