Mbona pori letu moja?

Unatuona manyani!!??[emoji23] wanatuona manyani 2 [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kina johnthebaptist chawa wa mama wanatuona manyani.

Ukisema jambo fulani limekosewa, jibu lao wanakwambia kama umekereka nenda kaishi Burundi.

Yaani hela ya kula huna ndiyo utakuwa na nauli ya kukupeleka Burundi kuishi?

Wanatuona Manyani!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…