BABU MAENDELEO usiwe ma haraka sana, wewe endelea kusubiria tu maana si umeona kilichowatokea wadogo zetu wa FORM IV? Hiki kitu kinawaumiza kichwa na kuwafanya wawe careful ili yasije yakajirudia kwa FORM SIX japo pia process ya standardization inaendelea kuvuta muda.
Subira huvuta heri, sasa hivi mpaka yapelekwe kwanza bungeni for verification kwa wazee wa kuangalia Quantity tu pasipo kuangalia Quality, hapo wanataka takwimu za 95% wamefaulu hata kama waliofaulu hawajui kusoma na kuandika
Tangu lini uliona matokeo ya form 6 yanatangazwa kabla ya yale ya F4? hapa wahitimu waombe kupelekwa JKT tena wakirudi ndio wawaze matokeo maana sasa ni chakachua at work.
cna uhakika sana juu ya hzi tetesi, waliopo jkt wameambiwa kuna intake 3! so lazma waliomaliza 4m 6 2013 wote wapite jkt! so hapo probabilty ya kwenda chuo October ni ndogo! i gec ndo maan hawana haraka na matokeo
Ninavyo sikia ni kwamba matokeo ya form six yalikua tayari lakini yalikua yameandaliwa kwa grades mpya zilizo kua zimetanganzwa apo awali na necta lakini sasa hivi wako wana grade upya matokeo ya form six kama wanavyo fanya kwa matokeo yo form four kwani baraza la mitihani ilitumia mfumo mpya kwa kidato cha nne na cha sita
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.