Mbona Mwisho wa Dunia Bado!

Naona tumesamehewa maana macho yangu yana ona tena,mdomo bado wapata kusema kiamaa bado.
 

Ng'hily, walisema dalili itaanzia na natural disaster. Kuna landslide imechukua orphanage huko mashariki ya mbali leo hii hii- Malaysia to be exact. JIANDAE
 
Nadhani walikuwa na safari zao za kuzunguka dunia wakapanga waitamaliza 21 May.
:mod: mbona baa zimejaza hadi sasa......bana achana nao wamechoka kuishi haoooooooooo...........
 
labda kale kababu na wafuasi wake wamepaishwa teyari!make radio yao tangu jana
ilikuwa inaskika kimagutumagutu!!!! hapa kichwa kinaniuma sijalala sawasawa kwa hofu
is there anyone missing around you?basi kapaa na preacher camping:A S 103:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…