Mkuu njoo nikugawie View attachment 153967
||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
Ahsante Mom fay nimefarijika sana kwa nasaha zako.
ur mostly welcome!!.. mimi nilitokea kumpenda sana mtu mmoja,tena sana,maisha yetu yalikuwa ya kawaida sana,sema tulijaliwa furaha na amani na kuridhika,japo mimi sometimes nilikuwa mkorofi namkwaza alinivumilia! but haikuwa mpango wa mungu awe wangu akamchukua! i also believe kama hakuwa wangu na wangu yupo somewhere,although sina imani kama ntapenda tena kama mwanzo ila najua yupo.!!.kwasasa nahitaji tu marafiki.
Nidyo siri ya mafanikio yako? ahsante kwa ushauri Masai dada