Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,691
- Thread starter
-
- #41
Mwanangu umetema POINTS TUPU!!Kitu kipya na used ni tofauti sana mkuu.
Km unabisha hebu nunua simu mpya halafu kanunua used. Halafu siku moja chukua hiyo mpya nenda nayo misele. Siku nyingine chukua used nenda nayo misele. Halafu pima siku ambayo ulikuwa na simu mpya ulijisikia na siku ambayo ulikuwa na used nayo ulijisikiaje?
nzuri sana hiyo kwanza inakufanya 1.umuamini mpenz wako
2. Inaleta heshima na amani ya roho
3. Inakufanya ujione ww ni bora kuliko wanaume ww, kutunziwa bikira unafikiri mchezo.
4. Inaongeza mapenz sana, utampenda mkeo mpaka bac
hata mm huwa natamani sana mke wangu ningemkuta bikira.
wanakuwa na bikila zao feki sikuhizi wanatumia shabu ukipiga kama kweli na vilio vya uwongo mala ohhoooo tumbo langu linamchango mala ohooooo mshono bae malaaaa ujue sijawai kufanya maliza laundi ya kwanza ukitaka kuludi akubali hata kwa mikwaju maana kumepelepweta kiama kama mfuko ovyooo tu!!!!!!!!!!!!!!!Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx!!!
Nimeona nibadili ID yangu baada ya BAN kuniandama sana..
Sasa issue iko hivi mazee :
Toka nijiingize kwa masuala ya mapenz mwaka 2011 nilipo maliza form six, cjawah kubahatika kukutana na DEM Virgin...
Yaan kila DEM namkuta used tuu, cjui ma kina nani huwa yananiwahi kubabake....
Manzi wa kwanza nilimpata shule moja nilikua napiga tempo tabora kule alikua form two...
Nikawa na iman 90% huyu bado huyu..
Heeee cku nampeleka getto (my first time to have sex) nakuta dogo ashafunguliwa.. Shiiiit!!!
Haya nikaenda chuo....
Nilipo maliza nikakutana na manz mwingine kamaliza chuo na yy, cku nampeleka Moveck hotel pale ubungo maziwa aaargh na yy nakuta ashafumuliwa kitaambo...
Tena tuko kwa kitanda pale akasema alisha date na wanaume wawili..
This is Bull Shiiiit...
Sasa nimeamua nijitoe kwanza kwa haya mambo natafuta mbinu za kumpata DEM Namie niwe wa kwanza kumfungua ndio niridhike...
Sasa mazee ambao mshawah kufungua MADEM...
Mnatumia mbinu gan, yaan niwafate MADEM gan wanafunz? Form ngap? Chuo?? Level gani nipate bikra??
Staki kuchezeana na binti wa watu..
Nataka kuoa actually (I am 26 now)
But kuoa mwanamke bikra ndio tamaa yangu kubwa sana..
Nisaidien tafadhal USHAURI.
Katika WATU wote waliopita hapa wewe PEKE YAKO NDIO UMENIELEWA MZEE..Kuna kitu mnanichanganya hapa!!
Huyu jamaa (@bolo yanki) sio bk ila anataka demu bk, alaf kuna watu hasa walengwa (waliokwishwa gegedwa) wanadai ati hawezi pata bk kisa yeye sio bk. Kama bk anapata bk mbona jamaa wa kwanza hakuwa ivo?
Kuna mtu anadai keshatoa bk kwa mkono,
Pia kuna mwingine kadai ati mtu anapata afananiaye, mbona alipompata wa kwanza hakuwa yule aliyeitoa kwa vidole?!
Maelezo zaidi yanahitajika huenda ufupi wa akili yangu kukawa kuna kitu nimemiss.
Basi Mungu amuongoze maana dunia nayoimekua sivyondivyo.kwa mwanamke mkuu inawezekana sana. Mwanamke anaweza kukaa miaka 50 asikutane na mwanaume. Lkn kwa mwanaume ni ngumu.
Mwanamke km hajaamua huwez kumvua vyup hata km mnalala kitanda 1 lbd umbake.
Hilo nalo neno!!!,lkn km wewe ni bikra mcheki jamaaa akuoe tu.Kwani wewe bikra????
Hapo upo used afu unataka kitu kipya kwani vyenyewe vyata used???
hahaaaaaaa sikuhiz ni mwendo wa ma baby mamaaaa tu mjini.toleo la mwisho bikra lilitoka mwaka 2010 kama ulikosa hapo baaasi!..saivi imebaki midunga embe tu
Za ndimu ndo huwa zinakuwaje???.Tatizo uliwahi kutoa ya mkono wako hiyo laana imekuangukia nenda tanga ziko za ndimu.
Nenda kwa mswati
alafu ma baby mamaaa wapo vzur kuliko wanaojiita vipepeohahaaaaaaa sikuhiz ni mwendo wa ma baby mamaaaa tu mjini.