alliJAY4_four
Senior Member
- May 4, 2017
- 173
- 95
hawa jamaa wanatupiga changa la macho
Hahaa... Hawa jamaa utabiri wao kwenye mvua ni kama utabiri wa mfalme pele kwenye soka.. Pele akitabiri hivi mambo yanakuja vile.Mie nawashangaa Pia
Walisema Mvua kubwa Sana zitanyesha kuanzia Nov- April non stop mpaka Mifereji ikaanza kuzibuliwa
Kimya kimepita wakaja Na tangazo kutakuja ukame wa hatare Mvua zikaanguka
one week kabla walisema wingu limeenda south Africa kutokana na kimbunga savannah, hivyo mvua zitakua chache sana mwaka huu.
Leo wamekuja na taarifa eti kutakuwa na mvua kubwa sana kwa week moja.....sasa mbona siwaelewi?? hii mvua kubwa inasababishwa na wingu gani wakati wamesema wingu la mvua kubwa halipo tena ukanda huu? au vipimo vyao ni vya kukurupuka?
Umeongea vyema na hiyo hata kwenye sera zao wamelifafanua na ndio maana kuna categories za utabiriHuo ni UTABIRI na sio lazima itokee. Ni mambo ya KUBAHATISHA TU ndio maana kila wakati wanakuja na kauli mpya. Achani kuwashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mbona ni kwa TMA tuu? mbona nchi za watu kama norway wanaweza kutabiri uwezekano wa kutokea kwa tetemeko la ardhi??? hawako seriousHuo ni UTABIRI na sio lazima itokee. Ni mambo ya KUBAHATISHA TU ndio maana kila wakati wanakuja na kauli mpya. Achani kuwashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
wingu limelewa savana za kutosha....hili wingu labda la kike limepigwa savana limelainika limeamua kurudi magetonione week kabla walisema wingu limeenda south Africa kutokana na kimbunga savannah, hivyo mvua zitakua chache sana mwaka huu.
Leo wamekuja na taarifa eti kutakuwa na mvua kubwa sana kwa week moja.....sasa mbona siwaelewi?? hii mvua kubwa inasababishwa na wingu gani wakati wamesema wingu la mvua kubwa halipo tena ukanda huu? au vipimo vyao ni vya kukurupuka?
Ndege imeenda Kenya ikarudi na wingu mkuu, yaani ujue utabiri wa TMA huwa unakuwa kinyumenyume, wakitabiri mvua wewe anza kufyatua tofali maana mvua haitakuwepo, ukiskia wametabiri ukame ondoka mabondeni maana hayo ni mafuriko wamemaanishaone week kabla walisema wingu limeenda south Africa kutokana na kimbunga savannah, hivyo mvua zitakua chache sana mwaka huu.