Mbona mi cpendwi?

Fahari omarsaid

Senior Member
Feb 8, 2011
101
13
Nimejitahidi kila hali kumtafuta mwenza bt cpati,nime2mia kila aina ya ujanja wangu lkn cjafanyikiwa,najiona mtanashati mzuri lkn cjui ni kwa nini wanawake hawanitaki,nisaidieni jamani.
 
usikute unajiona sana kuwa umtanashati na mzuri ndio sababu:rain:
 
Kujiona kwako mtanashati na mzuri ndio haswa vinawakimbiza wadada!!
 
Punguza mbwembwe wadada tunapenda wanaume wa kawaida sana,hawa watanashati tunaogopa kushindana kuwahi kioo asubuhi
 
mie kulisoma jina lako tu,bila avatar,nimeshakupenda.natania wee,usichukulie serious.jiangalie mapungufu yako,jaribu kuyarekebisha,ipo siku utapata wako tu,wala usikate tamaa
 
Utanashati na usharobaro bila sera :A S 13:!!!! Uza ilani sio sura mkuu!!!!!!:rain:
 
Wasiwasi wako tu kaka nafikiri hujampata tu wa style yako
 
Utanashati na usharobaro bila sera :A S 13:!!!! Uza ilani sio sura mkuu!!!!!!:rain:

hata hizo sera inabidi angalie ni za aina gani na anamuuzia mtu wa aina gani...mana ukileta zile za ooh unajua mimi nina magari sijui nini phenomenal women hawatakusikiliza hata kidogo.
 
Sio huwapati na hawakutaki......ila ukisema kwamba hujui kuongea na unawaogopa wadada hapo tungekuelewa na tungekupa mbinu za kuongea nao....ila zaidi jaribu kuwa simple mkuu!!
 
Nimejitahidi kila hali kumtafuta mwenza bt cpati,nime2mia kila aina ya ujanja wangu lkn cjafanyikiwa,najiona mtanashati mzuri lkn cjui ni kwa nini wanawake hawanitaki,nisaidieni jamani.

:A S 13: Kuku hata kama ni wako ukitaka kumla lazima umkimbize!!!!!!
 
Pole sana dear
Be urself be passion dear
time is the answer for every thing dear .
 
Habari za BAN dia nilikumiso, karibu tena

Habari za ban ntakupa story
nikiwa kwenye chombo kikubwa dear
hata mie nilikumiss sana kipenzi
ukiwa unaingia as a visitor
Huwezi kumuona MR kwenye ile idara
Duuuuhhh ndo nika relise ban kitu mbaya lol
we hujambo lakini bi mzuri....
 
Habari za ban ntakupa story
nikiwa kwenye chombo kikubwa dear
hata mie nilikumiss sana kipenzi
ukiwa unaingia as a visitor
Huwezi kumuona MR kwenye ile idara
Duuuuhhh ndo nika relise ban kitu mbaya lol
we hujambo lakini bi mzuri....

Chombo kipi hicho my dia?? ila ban yako uliomba ya muda kweli jamni hope kila kitu kipo pouwa kwa sasa, karibu sanaaa lile jukwaa japo nina karibia 2wks sijaweka kitu watu walizidi lalamika mwaya!! j3 inasemaje pande zako?
 
Back
Top Bottom