LOWASA wazi wazi aliwaambia waandishi wa habari Mchani kweupe, alizuiliwa na mamlaka ya juu kufuatilia mkataba wa RICHMOND. Mbona waandishi hamwendi hoji mamlaka ya juu kwa nini yalimzuia LOWASA? Mbona Dr Slaa anamwandama Lowasa tu na mamlaka ya juu yapo na tumeambiwa yalihusika?