Yapo mbona. Yana spidi kali mpaka hayaonekani yakipita.
yameanza kazi kwa kufundishia madreva tu kwanza, na si kubeba abiria. yapo ila ni kwa ajiri ya mafunzo tu.
Nimefunga safari toka Moro leo asubuhi kuja DSM ili nishangae mabasi yaendayo kasi.. Cha kusikitisha sijabahatika kuyaona! na ni hivi majuzi mradi ulizinduliwa! kulikoni mabasi hayo hayapo njiani tena?
yapo mbona. Yana spidi kali mpaka hayaonekani yakipita.
Madereva wanafundishwa kupitia barabara zipi Mkuu?
Yapo mbona. Yana spidi kali mpaka hayaonekani yakipita.