hayo mambo yanfafanuliwa vizuri kijiografia. yanatokana na mabadiliko ya jua la utosi. jua huhamia ikweta mara mbili kwa mwaka na tropiki ya kansa na tropiki ya kaprikon mara moja moja kwa mwaka. ni mabadiliko hayo ndio huleta tofauti ya urefu wa mchana na usiku katika sehemi mbalimbali dunia nzima. unaweza pia kurejea utabiri wa mawio na machweo ya jua na uoanishe na tarehe za jua la utosi kwa tropiki inayohusika utapata jibu la swali lako. naamini kwa haya machache umenielewa
Mtu Mmoja:
Haya maelezo ungeyatoa kwa "lugha yao" yangeelewaka vizuri - Kiswahili akijitoshelezi hasahasa kwa maneno ya kisayansi
tropiki ya kanasa =?
haha, nimetumia ka-jiografia kangu ka shule ya kata! hahah
lazima tuijenge na kuithamini lugha yetu bwana. hapo kwenye bold nimeishaona na kurekebisa ni "tropiki ya kansa"
Hilo la kubadilika katika vipindi tofauti vya mwaka nalifahamu. Shida yangu ni tofauti kutoka mwaka hadi mwaka kwa kipindi kilekile. Say, kwa mfano, leo jua limechomoza mapema kuliko siku kama ya leo mwaka jan
Kiongozi, nathamini sana Kiswahili lakini uwa napata taabu hasa ninapotafsi maneno ya Kingereza kwenda Kiswahili!
Rudia maandiko yako uhakiki:-
"... mchana na usiku katika sehemi.."
"... ni mabadiliko hayo ndio.."
"... kurejea utabiri wa (?) mawio na machweo..."
ka dar 11:30 ni kweupe, mtwara si ndio kabisa!
Cape del Gado & Beira 05:10am kweupe!
Port Elizabeth 04:50am kweupe!
hayo mambo yanfafanuliwa vizuri kijiografia. yanatokana na mabadiliko ya jua la utosi. jua la utosi huhamia tropiki ya ikweta mara mbili kwa mwaka na tropiki ya kansa na tropiki ya kaprikon mara moja moja kwa mwaka. ni mabadiliko hayo ndio huleta tofauti ya urefu wa mchana na usiku katika sehemi mbalimbali dunia nzima. unaweza pia kurejea utabiri wa mawio na machweo ya jua na uoanishe na tarehe za jua la utosi kwa tropiki inayohusika utapata jibu la swali lako. naamini kwa haya machache umenielewa